Back to Top

ZedecTheBandit - Cruise Kitaa Lyrics

ZedecTheBandit - Cruise Kitaa Lyrics

Uunh yeah
Uunh yeah

Cruise kitaa Niko na wana nna cruise kitaa
Inachanganya kila nnachofanya ndo inakua breaking news kitaa
Somo limepata new teacher
Pulling strings ka nna bruise gitaa
Am tryna show you the bigger picture ila unasita sita ndo unaloose jamaa
Game limepata new spitter
Niko booth ka umemuudhi kichaa
Spitting heavy metal ka nnakula chuma wa kula mbuzi utachoose balaa
Mtoto wa juzi nnarun mitaa
Mpaka wajuzi ndo wanashangaa
Spidi kali hawanipati kinyamwezi nateleza waacha kwenye mataa
Am on air ona sasa napaa
Always on practice i dont wanna drop
Like its a party we turn it up
Niite kibopa ukipenda papaa
I been a bandit like all of ma life
Ni muda wetu to go to the top
Muda wa watu kustaaf
Time ya trap kubless mitaa
Cruise kitaaa

Cruise kitaa yeah
Daily nnacruise kitaa
Niko na wana we mobbing the streets in peace
Nnacruise kitaa
I gat the key to the city
Yeah tupo lit twacruise kitaa
Wanyamwezi kikatili twapiga dili tukicruise mitaa
Cruise kitaa uunh
Cruise kitaa yeah
Daily nnacruise kitaa
Cruise kitaa yeah
Daily nnacruise kitaa
Cruise kitaa yeah
Daily nnacruise kitaa
Cruise kitaa yeah
Daily nnacruise kitaa

Nani anabisha si maninja tutakuja pagawisha matozi
Leta za kijinga si wambuzi tutakuja kukupiga makonzi
Niggas wanaleta mapozi sisi tuandrop shit daily ka dozi
Kunisoma ka hujisomi ni ngumu ni bora ukachukua kozi
Gat me screaming BANDIT vamos
Hanging out with hermanos
Champs we like los blancos
Bitch you can call me carlos
BANDIT life like narcos
Ball with my muchachos
Aint nobody can ever stop us
Yeah we go hard like Thanos
Sisi ndo mabrother kitambo huwezi vaa buti la kisoja we mgambo
Ka kinjekitile kwenye jungle hapa mapinduzi ka huwezi kaa kando
Mi ndo mastermind wa mipango ngoja wafungue tu milango
Tushajikabidhi vitengo, game tushapiga nembo

Cruise kitaa
Cruise kitaa yeah
Daily nnacruise kitaa
Cruise kitaa yeah
Daily nnacruise kitaa
Cruise kitaa yeah
Daily nnacruise kitaa
Cruise kitaa yeah
Daily nnacruise kitaa
Cruise kitaa yeah
Daily nnacruise kitaa
Cruise kitaa yeah
Daily nnacruise kitaa
Cruise kitaa yeah
Daily nnacruise kitaa
Cruise kitaa yeah
Daily nnacruise kitaa

Cruise kitaa yeah yeh
Nnacruise kitaa yeah yeh
Cruise kitaa yeah yeh
Nacruise kitaa yeah yeh
[ Correct these Lyrics ]

[ Correct these Lyrics ]

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.

English

Writer: Melchizedeck Gwaho
Copyright: Lyrics © O/B/O DistroKid

Back to: ZedecTheBandit

ZedecTheBandit - Cruise Kitaa Video
(Show video at the top of the page)

Performed By: ZedecTheBandit
Language: English
Length: 3:10
Written by: Melchizedeck Gwaho
[Correct Info]
Tags:
No tags yet