Walishatukatia tamaa
Tangu tuko wadogo
Tukapambana sana
Tuliishi kwa msoto
Nyingi changamoto
Na hapa ndioo tulipo
Hatujakata tamaa
Bado tuna hustle
Hatuibi Cha mtu tunakula tukipatacho
Tena kwa jasho
Mungu Baba wabariki
Mama zetu wanaokesha tuombea
Usiwanyime riziki
Afya zao ziimarishe Baba
Tupunguzie wanafiki
Wasopenda kutuona tukiemdelea
Na wote wenye chuki
Twakuomba utuepushe Baba
Maisha hayana fomula
We kuwa na subra
Pambana sana
Muombe Mungu
Amini Utafanyikiwa
Wapo wanaomiliki magari
Ma V-AT
Lambgini
Wana majumba makali
Wapo waliozipata hizo Mali
Kwa kuyaweka maisha ya wengine kwenye hatari
Kama ni chako kipo
Amini utapata
Acha manunguniko amini utapata
Kumbuka unaweza iga njia ya mtu
Lakini kamwe huwezi pata bahati yake
Mungu Baba wabariki
Mama zetu wanaokesha tuombea
Usiwanyime riziki
Afya zao ziimarishe Baba
Tupunguzie wanafiki
Wasopenda kutuona tukiemdelea
Na wote wenye chuki
Twakuomba utuepushe Baba
Maisha hayana fomula
We kuwa na subra
Pambana sana
Muombe Mungu
Amini Utafanyikiwa