Nipe moja tena nataka more
Wacha kunilenga nishakita kigogo
Mathezo fulani kunivuruga ubongo
Sogea karibu mami njoo
Sogeza kidhubri huku gizani
Hii kitu huwezi pima kwa mizani
Wacha tu nikupe burudani
Sogeza kidhubri huku gizan'
Hii kitu huwezi pima kwa mizan'
Wacha tu nikupe burudan'
WOYE,WOYE mi nabaki tu woye
Ukidance na ku rotate
Mama wanichanganya
WOYE,WOYE mi nabaki tu woye
Ukidance na ku rotate
Mama wanichanganya
She's on fire
Her body my desire
Kama keeper kanimwaya
Hodari toka kaya
Si wa kishamba ni mkali
Hatari tukiwa ndani
Anipandisha maruhani
Kusafiri nchi jirani
Woye,mimi habusu kwako
Zuzu yani duko
Rotate,umeniweza nyako
Na vyako vituko
Woye,mimi habusu kwako
Zuzu yani duko
Rotate,umenifanya nisi forget
WOYE,WOYE mi nabaki tu woye
Ukidance na ku rotate
Mama wanichanganya
WOYE,WOYE mi nabaki tu woye
Ukidance na ku rotate
Mama wanichanganya
Nipe niweke ke
Mama ilete te
Nikupekeche che
Goma likeshe she
Nipe niweke ke (Mama una inadi)
Mama ilete te(Mama una ina)
Nikupekeche che(Mama una inadi)
Goma likeshe she(Mama una ina)