Taylor Gonz Taylor Gonz where you at bro?
Raphi, Raphi, mi napiga mikasi
Niko kwenye party na bila wasiwasi
Kuna dem ameiva manzee ananipa taki
Nimkatishe maji kwanza nijue niaje
Sijui kutaendaje manzee itakuaje
Mangeus wanaliaje tumekam na mambathi
Na wengine wamezima na ngazi za makali
Tunapiga mikasi mpaka utasema basi
Tebu nipe lighter niwashange io nyasi
Danse utanipata namadem kama thirty
Raphi yooh mi nilisha wachanganya
Wote wako sawa ata mi siwezi gwaya
Maya ana haga na vile ameinama
Wanazungusha rasa nika wote wamepagawa
Anacheza chakacha nika ye ni belly dancer
Na rada za mavela kwa mafom anajipata
Tunapiga mikasi na madem wana matisha
Ukinishika shika baby mwili imejipa
We bado unauliza na madem wanakatika
Ulimi wanatoa na bado sijamaliza
Maneno ya mandoa sidai kujiingiza
Walai ikidai kwa baze najipuliza
Na bado nawafinya mpaka wanalia
Taylor Gonz sugarboy nipeleke mos mos
Fom ni fom mikasi
Tunakula tukichoma nyasi
All de gyaldem wanashake
Wanajua kwamba fom ni Taylor Gonz na Raphi
Fom ni fom mikasi
Tunakula tukichoma nyasi
All de gyaldem wanashake
Wanajua kwamba fom ni Taylor Gonz na Raphi
Mitikasi mikasi mikasi mikasi
Baby you better come home by ten
Leo utakula that candy pen
You know that I like a big body gyal
Mwenye anajua kujimwaga
Mwenye anashake that sana
Anapenda tena na spotlight
My gyal can you bruk it up
Shake for a big boss kama mimi
Oooh when you wine your waist
You never know what you have till its gone
Eeeeh hio laffy taffy come on girl give it to Raphi
Fom ni fom mikasi
Tunakula tukichoma nyasi
All de gyaldem wanashake
Wanajua kwamba fom ni Taylor Gonz na Raphi
Fom ni fom mikasi
Tunakula tukichoma nyasi
All de gyaldem wanashake
Wanajua kwamba fom ni Taylor Gonz na Raphi
Mitikasi mikasi mikasi mikasi
Ule dem ana matako analia mmmmh
Kuna bonge la party ebu kula luku
Mi napenda hio coochie ata inuke suchie
Ukishikashika ulambi ntakupiga
Sura poa poa manzee inani ita ita
Nakula io kitu mi simind izo mafuthi
Ukizirusha rusha manzee ukona ujuzi
Jay jay alisema anapendaga michuzi
Na madem wako boujee kama ngoma ya the uzi
Madem wako choozy pigwa finga kwa jacuzzi
Genje ishajipa kwa mababi na wanati
Mathegi na maguangi
Madem na machali
Twende tupige mikasi tikijuanga niaje aje aje
Fom ni fom mikasi
Tunakula tukichoma nyasi
All de gyaldem wanashake
Wanajua kwamba fom ni Taylor Gonz na Raphi
Fom ni fom mikasi
Tunakula tukichoma nyasi
All de gyaldem wanashake
Wanajua kwamba fom ni Taylor Gonz na Raphi
Mitikasi mikasi mikasi mikasi
Raphi, Raphi, mi napiga mikasi
Raphi, Raphi, mi napiga mikasi