Back to Top

Pesa Kibindoni Video (MV)

Performed By: T Sigwa
Language: English
Length: 2:50
Written by: Tunda Sigwa
[Correct Info]

T Sigwa - Pesa Kibindoni Lyrics

Kwenye show ukizingua unatupiwa makopo
Narudishaga picha nyuma studio kwa Ngoko
Maisha kujituma Kuwa mtumwa ni utoto
Nilishatumwaga vingi mademu na misokoto
Nimezaliwa kwenye upepo na naipeperusha bendela
Changamoto Tajiri anachanga Ma hela
Tangu mtoto Maisha Yangu hayakuwaga simple
Sikuwa na demu kisa gari
Nilikuwaga single
Msosi mmoko per day Sina afadhali
Leo kwenye line wanangu mnadhani simple
Wanangu tupambane, Mapenzi bila money
Dj anataka money ndo pini yangu anigongee
We do it for the Money
Chana nikuchane
Weka mkwanja mezani ndio Maisha yaendele

Iwe kwa pochi hama kiganjani
Noti za kibindoni
Kiki Ni Gigy Money
"Aaaaheeee!"
Watu wanauza roho pesa ndio ainaga imani
"Aaaaaheee!"
Watu wanauza roho kwa pesa za kibindoni
"Aaaaaheeee!"

Pesa kwenye Kibindo
"Jiiiiyaaaaa"
Pesa kwenye Kibindo
"Jiiiiyaaaaa"
Pesa kwenye Kibindo
"Jiiiiyaaaaa"
Pesa kwenye Kibindo
"Jiiiiyaaaaa"

Mapenzi king'amuzi
Bila mtonyo huoni channel
Utaitwa buzi, na utapewa sifa chakali
Mapenzi kupeana uwezi pewa bila salari
Ubinaadam kazi ndio maana usiku hatulali
Maisha yakibishiKama sitaki sitaki
Ni sawa kumuhonga demu then chako aupati
Watu wamekata ringi kwenye kusaka door
We unataka league si tuna make door
Nimeshakuwa mafia master, ninja
Imani flani za kirasta, Nala mavi ya Ninja
Kina kirefu
Mi nazama mpaka uvinza
Usishangae nikifa manzese arafu nizikwe Sinza

We do it for the Money
Chana nikuchane
Weka mkwanja Mezani ndio Maisha Yaendele
Iwe kwa Pochi ama kiganjani
Noti za kibindoni
Kiku ni Gigy Money
"Aaaheeee!"
Watu wanauza roho
"Aaaaaheeee!"
kwa pesa za kibindoni
"Ahahaaahee!"
Watu wanauza roho
"Aaaahee"
Pesa Ndio aina Imani

Pesa kwenye Kibindo
"Jiiiiyaaaaa"
Pesa kwenye Kibindo
"Jiiiiyaaaaa"
Pesa kwenye Kibindo
"Jiiiiyaaaaa"
Pesa kwenye Kibindo
"Jiiiiyaaaaa"

Oya wanangu wa boda boda Mazimbu mpaka masaki
Una onga Buku na Buku ingekuwaga Laki
Tunang'ang'ana kwa Game kiroho Safi
Na ikinyesha mvua, Ndio uni ulize unakwama wapi?

Kwenye show ukizingua unatupiwa makopo
Narudishaga picha nyuma studio kwa Ngoko
Maisha kujituma Kuwa mtumwa Ni utoto
Nishatumwaga vingi, mademu na misokoto
[ Correct these Lyrics ]

[ Correct these Lyrics ]

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.

English

Kwenye show ukizingua unatupiwa makopo
Narudishaga picha nyuma studio kwa Ngoko
Maisha kujituma Kuwa mtumwa ni utoto
Nilishatumwaga vingi mademu na misokoto
Nimezaliwa kwenye upepo na naipeperusha bendela
Changamoto Tajiri anachanga Ma hela
Tangu mtoto Maisha Yangu hayakuwaga simple
Sikuwa na demu kisa gari
Nilikuwaga single
Msosi mmoko per day Sina afadhali
Leo kwenye line wanangu mnadhani simple
Wanangu tupambane, Mapenzi bila money
Dj anataka money ndo pini yangu anigongee
We do it for the Money
Chana nikuchane
Weka mkwanja mezani ndio Maisha yaendele

Iwe kwa pochi hama kiganjani
Noti za kibindoni
Kiki Ni Gigy Money
"Aaaaheeee!"
Watu wanauza roho pesa ndio ainaga imani
"Aaaaaheee!"
Watu wanauza roho kwa pesa za kibindoni
"Aaaaaheeee!"

Pesa kwenye Kibindo
"Jiiiiyaaaaa"
Pesa kwenye Kibindo
"Jiiiiyaaaaa"
Pesa kwenye Kibindo
"Jiiiiyaaaaa"
Pesa kwenye Kibindo
"Jiiiiyaaaaa"

Mapenzi king'amuzi
Bila mtonyo huoni channel
Utaitwa buzi, na utapewa sifa chakali
Mapenzi kupeana uwezi pewa bila salari
Ubinaadam kazi ndio maana usiku hatulali
Maisha yakibishiKama sitaki sitaki
Ni sawa kumuhonga demu then chako aupati
Watu wamekata ringi kwenye kusaka door
We unataka league si tuna make door
Nimeshakuwa mafia master, ninja
Imani flani za kirasta, Nala mavi ya Ninja
Kina kirefu
Mi nazama mpaka uvinza
Usishangae nikifa manzese arafu nizikwe Sinza

We do it for the Money
Chana nikuchane
Weka mkwanja Mezani ndio Maisha Yaendele
Iwe kwa Pochi ama kiganjani
Noti za kibindoni
Kiku ni Gigy Money
"Aaaheeee!"
Watu wanauza roho
"Aaaaaheeee!"
kwa pesa za kibindoni
"Ahahaaahee!"
Watu wanauza roho
"Aaaahee"
Pesa Ndio aina Imani

Pesa kwenye Kibindo
"Jiiiiyaaaaa"
Pesa kwenye Kibindo
"Jiiiiyaaaaa"
Pesa kwenye Kibindo
"Jiiiiyaaaaa"
Pesa kwenye Kibindo
"Jiiiiyaaaaa"

Oya wanangu wa boda boda Mazimbu mpaka masaki
Una onga Buku na Buku ingekuwaga Laki
Tunang'ang'ana kwa Game kiroho Safi
Na ikinyesha mvua, Ndio uni ulize unakwama wapi?

Kwenye show ukizingua unatupiwa makopo
Narudishaga picha nyuma studio kwa Ngoko
Maisha kujituma Kuwa mtumwa Ni utoto
Nishatumwaga vingi, mademu na misokoto
[ Correct these Lyrics ]
Writer: Tunda Sigwa
Copyright: Lyrics © O/B/O DistroKid

Back to: T Sigwa

Tags:
No tags yet