Back to Top

Soraya kingsli - Nimpende Lyrics

Soraya kingsli - Nimpende Lyrics

Eeee ei
Juuu yei
Eeeee eei

Kuna dem wa kitajiri
Nimempenda mimi maskini
Amenikanya mama sikuamini
Nimempenda ye wengine wa nini
Tulipatana bar pale kazini
Kasahau saa kamfatisha me
Kwa vitendo anaonyesha ananipendaaa
Wangu moyo anaujua ananitendaaa ×2
Isiwe kisa ulofa ulofa sina ghorofa(sina mama)
Nakosa nakosa sina karover(nakosa mama)
Ulofa ulofa sina ghorofa(sina mama)
Nakosa nakosa...
je ni kweli ananipendaaaaa

Nimpende ye(ama nasubiri
Nimwache ye (wengine sitaki
Nimuulize ye (labda nitamuudhi
Basi niambie
Nimpende ye(ama nasubiri...(nimpendeee
Nimwache ye (wengine sitaki...(nimwacheee
Nimuulize ye (labda nitamuudhi...eeeee eei

Kikweli kwa Tabia Sikinai
Anayo roho safi pamba hazingai
Mawazo yangu kaniteka nitadie
Bora niweke wazi anisikie
Waraka wangu kwake umfike
Kama ataweka wazi aniambie

[ Correct these Lyrics ]

[ Correct these Lyrics ]

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.

Writer: Soraya kingsli
Copyright: Lyrics © Big Masterz

Soraya kingsli - Nimpende Video
(Show video at the top of the page)

Performed By: Soraya kingsli
Language: English
Length: 3:29
Written by: Soraya kingsli

Tags:
No tags yet