Back to Top

Serro - Asante Lyrics



Serro - Asante Lyrics
Official




Neema nisiyostahili nimeiona
Upendo uliokamili nimeionja
Huruma iliyokamili nimeiona
Rafiki aliye kamili nimemuona
Nasema asante
Yesu eh
Nasema asante
Yesu eh
Kwa uliotenda
Utakayotenda
Kwa uliotenda
[ Correct these Lyrics ]

[ Correct these Lyrics ]

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.


We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.




Neema nisiyostahili nimeiona
Upendo uliokamili nimeionja
Huruma iliyokamili nimeiona
Rafiki aliye kamili nimemuona
Nasema asante
Yesu eh
Nasema asante
Yesu eh
Kwa uliotenda
Utakayotenda
Kwa uliotenda
[ Correct these Lyrics ]
Writer: Hulda Serro
Copyright: Lyrics © O/B/O DistroKid

Back to: Serro



Serro - Asante Video
(Show video at the top of the page)


Performed By: Serro
Language: English
Length: 1:13
Written by: Hulda Serro

Tags:
No tags yet