Ninakiri, ninatangaza
Kuwa wewe ni Mungu
Ninakiri, ninatangaza
Kuwa wewe ni Mungu
Forever
You remain the same
You remain the same
You remain the same, oh God
Forever
You remain the same
You remain the same
You remain the same, oh God
Hata kama Dunia ingegeuka karatasi
Na miti yote iwe kalamu
Niandike sifa zako, sitamaliza
Maana wino utaisha
Bora nikuite Yahweh jina lako
Linabeba sifa zako
Yahweh, hakuna kama we
Yahweh, hakuna kama we
Yahweh, hakuna kama we
Yahweh, nobody like you Lord
You are alpha and omega
Nobody like you Lord
Wewe ni mwanzo tena mwisho, Adonai Ebenezer
Yahweh, nobody like you Lord
Yahweh, Yahweh
Nobody like you, nobody like you Lord
Yahweh, Yahweh
Yahweh, Yahweh
Yahweh, Yahweh
Yahweh, Yahweh
Yahweh, Yahweh
Yahweh, Yahweh
Yahweh, Yahweh, Yahweh, Yahweh
Ndilo jina lako Yahweh