Hili ni ombi langu
Bwana, nikupendeze
Hili ni ombi langu
Bwana, nitembelee
Hili ni ombi langu
Bwana, unifundishe
Nifundishe kusema
Kama upendavyo wewe
Nifundishe kunyamaza
Niwe kimya useme wewe
Nifundishe kuwaza
Kama upendavyo wewe
Nifundishe kutembea
Kwenye njia zako
Nitembelee
Nitembelee Bwana
Nifundishe
Nifundishe Yahweh
Nitembelee
Nitembelee
Nifundishe
Nifundishe Yahweh
Hili ni ombi langu
Bwana, nikupendeze
Hili ni ombi langu
Bwana, nifundishe
Nifundishe kusimama
Kwenye kusudi lako
Nifundishe kuimba
Sawa na roho wako
Nifundishe kusikia
Sauti yako
Hili ni ombi langu
Ombi langu
Hili ni ombi langu
Imeandikwa katika neno lako
Wewe ni roho,
Wakuabuduo imewapasa kukuabudu katika roho
Na saa inakuja,
Wakuabuduo itawapasa kukuabudu katika roho na kweli
Naomba nifundishe
Naomba nifundishe
Naomba nifundishe
Nifundishe
Unifundishe, Unifundishe
Unifundishe, Unifundishe
Unifundishe, Unifundishe
Unifundishe, Unifundishe
Siwezi bila wewe
Unifundishe, Unifundishe
Unifundishe, Unifundishe
Unifundishe, Unifundishe
Unifundishe, Unifundishe