Back to Top

Ni Mungu (feat. Walter Chilambo) Video (MV)




Performed By: Sara Nyongole
Language: English
Length: 4:19
Written by: Sara Nyongole, Walter Chilambo
[Correct Info]



Sara Nyongole - Ni Mungu (feat. Walter Chilambo) Lyrics




Hakunaga jipya chini ya Jua
Usilolitambua na kulijua
Hata vya sirini wavijua
Vilivyo ndani ya vilindi vya moyo unavijua

Siwezi kuficha chochote
Maana moyo wangu kwako umejifunua
Siwezi kuongopa lolote
Kwa maana moyo wangu umejifunua

Kwangu nina sababu
Kukubali ni Mungu
Kwangu nina sababu
Kukubali ni Mungu

Wewe ni Mungu
(Oh wewe ni Mungu, wewe ni Mungu)
Muumba nchi na mbingu
(Hakuna kama wewe Bwana wangu)
Wewe ni Mungu
(Wewe ni Mungu)
Muumba nchi na mbingu

Kwa moyo wangu
Wote nimekutafuta
Usiniache nipotee mbali na maagizo yako
Moyoni mwangu nimeliweka neno lako
Nisije nikakutenda dhambi Mungu

Nafsi yangu imeambatana na mavumbi
Unihuishe sawasawa na neno lako
Nafsi yangu imeambatana na mavumbi
Unihuishe sawasawa na neno lako
Maana wewe ni Mungu

Wewe ni Mungu
(Hakika, unastahili sifa)
Muumba nchi na mbingu
(Wewe ni baba)
Wewe ni Mungu
(Unaetenda maajabu)
Muumba nchi na mbingu

Sitaaibika
Sitatetereka
Sitapungukiwa
Sitakuacha we

Sitaaibika
Sitatetereka
Sitapungukiwa lolote
Sitakuacha we

Wewe ni Mungu
(Wewe ni Mungu wetu)
Muumba nchi na mbingu
(Hubadiliki wewe utabaki yuleyule)
Wewe ni Mungu
(Wewe ni Mungu wa wote wenye mwili)
Muumba nchi na mbingu
(Wewe ni Mungu wetu)
Wewe ni Mungu
(Tunakuita we ni Mungu)
Muumba nchi na mbingu
(Wewe ni Mungu wewe)
Wewe ni Mungu
(Hakuna kama wewe Baba)
Muumba nchi na mbingu
(Wewe)
[ Correct these Lyrics ]

[ Correct these Lyrics ]

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.


We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.


English

Hakunaga jipya chini ya Jua
Usilolitambua na kulijua
Hata vya sirini wavijua
Vilivyo ndani ya vilindi vya moyo unavijua

Siwezi kuficha chochote
Maana moyo wangu kwako umejifunua
Siwezi kuongopa lolote
Kwa maana moyo wangu umejifunua

Kwangu nina sababu
Kukubali ni Mungu
Kwangu nina sababu
Kukubali ni Mungu

Wewe ni Mungu
(Oh wewe ni Mungu, wewe ni Mungu)
Muumba nchi na mbingu
(Hakuna kama wewe Bwana wangu)
Wewe ni Mungu
(Wewe ni Mungu)
Muumba nchi na mbingu

Kwa moyo wangu
Wote nimekutafuta
Usiniache nipotee mbali na maagizo yako
Moyoni mwangu nimeliweka neno lako
Nisije nikakutenda dhambi Mungu

Nafsi yangu imeambatana na mavumbi
Unihuishe sawasawa na neno lako
Nafsi yangu imeambatana na mavumbi
Unihuishe sawasawa na neno lako
Maana wewe ni Mungu

Wewe ni Mungu
(Hakika, unastahili sifa)
Muumba nchi na mbingu
(Wewe ni baba)
Wewe ni Mungu
(Unaetenda maajabu)
Muumba nchi na mbingu

Sitaaibika
Sitatetereka
Sitapungukiwa
Sitakuacha we

Sitaaibika
Sitatetereka
Sitapungukiwa lolote
Sitakuacha we

Wewe ni Mungu
(Wewe ni Mungu wetu)
Muumba nchi na mbingu
(Hubadiliki wewe utabaki yuleyule)
Wewe ni Mungu
(Wewe ni Mungu wa wote wenye mwili)
Muumba nchi na mbingu
(Wewe ni Mungu wetu)
Wewe ni Mungu
(Tunakuita we ni Mungu)
Muumba nchi na mbingu
(Wewe ni Mungu wewe)
Wewe ni Mungu
(Hakuna kama wewe Baba)
Muumba nchi na mbingu
(Wewe)
[ Correct these Lyrics ]
Writer: Sara Nyongole, Walter Chilambo
Copyright: Lyrics © O/B/O DistroKid, Sentric Music


Tags:
No tags yet