Nimekuja mbele zako
Kusudi nilete sifa zako
Vile ulivyo, wan'shangaza
Vile utendavyo, najiuliza
Je mimi ni nani, utende utendavyo
Nimefanya nini, unipe neema bure
Je mimi ni nani, utende utendavyo
Nimefanya nini, unipe neema bure
Yes, Nakupenda
Mimi, Bwana nakupenda
Vile umetenda
Maishani mwangu
Sina kama wewe
Rafiki waniache
Ndungu wanitenge
Wewe uko nami
Huniachi kama nilivyo
Peke yangu
Mimi nakupenda
Vile umetenda
Yes, Nakupenda