Moja na moja, na moja nyingine
Hufanya makumi, kwa mamia
Kuwa mamilioni
Ukiamua kujitoa wewe
Kisha ukamtoa yule umpendae
Tanzania utaiongoza
Sikoseli isisambae
Pima, Jua Hali yako, ya Sikoseli
Vunja ukimya, sema ukweli
Vunja Mduara Vunja
Vunja Mduara Vunja
Vunja Mduara Vunja
Pima, Jua Hali yako
Sikoseli Pima Jua Hali Yako