Tropical settings, na maguys
Madem wako hapo, mapeng ting wallahi
No capping, good times
As we sip, and we hit, and we listen to the rhymes
Right there burst a dance girl, no shame
Babe break your back no delay
Show you in the Coast how the hips sway
Right to the drums, oh this way
Njoo nikuonyeshe mapenzi unayotaka
Mamarafiki wako pia wawe na furaha
Vaibu zetu ziwe pale pale sawa sawa
Ndio ujue Mombasa ni mambo raha
Unanidai, nakudai pia
Nimekunice, umeninice pia
Ati Kilimani that's my set dear
Ati unanishuku, baby tulia
No games, umeslay
Tumetii, shawty never came to play okay
That's fine by me, baby right by me
Ati ex, damn hoes ain't got to time on me
Ebu flex it, whine and rewind it
Booty looking fat I'm behind it, test it
Let me see if I can handle it
Let me see if I can handle it
Ghai, umeivaa wallahi, umeniweza
Hivi tupendane it's a crime kukuwacha, kwanza
Baby pack a bag nikutreat twende huko Mombasa
Twende huko Coast tu raha
Njoo nikuonyeshe mapenzi unayotaka
Mamarafiki wako pia wawe na furaha
Vaibu zetu ziwe pale pale sawa sawa
Ndio ujue Mombasa ni mambo raha
Si tuko Coast tu raha
When with you babe, bei imepanda
Ndio maana, I've got to keep you by my side,
See with you me I feel complete no lie
Cause you got class, feel like I'm in daro
No cap, you got all the vibes though
Kutoka Coast hadi Santo, Imma blow my salo
Make you meet the paro's
Njoo nikuonyeshe mapenzi unayotaka
Mamarafiki wako pia wawe na furaha
Vaibu zetu ziwe pale pale sawa sawa
Ndio ujue Mombasa ni mambo raha
Njoo nikuonyeshe mapenzi unayotaka
Mamarafiki wako pia wawe na furaha
Vaibu zetu ziwe pale pale sawa sawa
Ndio ujue Mombasa ni mambo raha