Upande Bajaji, matatu we haya ukipata boda boda sawa
Kwako mi mkweli sitokuwa liar my love for you haito retire
When you call me baby oh unanipa mi dadiyo
Sound ya phony radio radio radio
Kwako nimeshikamanaa maana nakupenda sanaa
Chukua babaa moyo wangu kwako dhamanaa
Kwako nimeshikamanaa maana nakupenda sanaa
Moyo chukua baba, moyo wangu kwako dhamana
Nitakulinda kamaa mtoto mtoto
Nikudalike kidali po, popopo popopo
Nitakulinda kamaa mtoto mtoto
Nikudalike kidali po, popopo popopo
Baby kwako nimefall in love
I'm Falling in Love
Umenikamata roho
I'm Falling in Love
Nimefall in fall in fall in Love
I'm Falling in Love
Oh baby, nimefall in Love
I'm Falling in Love
Baby mimi mwenzio, kwako sina question
Lovey dovey so mi niseme nini
Honey I'm reali mimi hoi taabani baby
Baby umenifunza love bila tuition
Mimi kwako chali tamu nanasi mayai tamu
Mpaka kisogoni hilo love
Penzi nzito darling, lavunja mizani tani
Kakufunza nani hilo love
Nitakulinda kamaa mtoto mtoto
Nikudalike kidali po, popopo popopo
Nitakulinda kamaa mtoto mtoto
Nikudalike kidali po, popopo popopo
Baby kwako nimefall in love
I'm Falling in Love
Umenikamata roho
I'm Falling in Love
Nimefall in fall in fall in Love
I'm Falling in Love
Oh baby, nimefall in Love
I'm Falling in Love