Back to Top

Decepticons (feat. Cafu Da Truth) Video (MV)




Performed By: P-Tah
Language: English
Length: 5:05
Written by: Stephen Mwangi, Peter Mutisya




P-Tah - Decepticons (feat. Cafu Da Truth) Lyrics




Yo yo Tapi
Ni Cafu hapa unanipata nini
I hope so unanipata
Unanipata
Whaaat, Gat them
Hope uninipata

After kura ma transformers wanakula tunazoza
Na mabunda tumesorta

Hizo ridhe ziko
Ha ha ha
Choshwa decepticons
Ha choshwa decepticons

Nina detect lies mob ni ma deceit icons
Shapeshifters ni ma decepticons
Ha izo ridhe ziko wha wha wha
Choshwa decepticons

Ni doggy style so put ur bottoms up
Ulive the dream campaign ulikua hustler mzibinting
Bottom line uli miss leak
Ulipewa wheel barrow na ndoto za kuridhi jeep
Uko jobless why all this protests
Silly me niku kosa usingizi juu wame tax hadi sleeping pills
Ha, naring dumbells nikiingia jing session
Economy rated R ju tulivotia recession
Tulidhani ni wasee wa power
Ha, Blackout plus rice Kwa rotation
Na dame anategea ni rise tu the occasion
Diesel hata imewacha kua moto
Juu hata shetani hawezi afford petrol
Competition hadi na shell
After chapo dodo, nauza gas station
System imetuf*ck na mwaka moja, ina-need castration
Minyoo zinaamka midnight kukuambia ni leo sio kesho
Na ma-GPS ma location karibu niingize x box
Ni rapist najaribu kupatia sex talk
Words kibao na less walk
Mchezo kibao na less work
Manifesto guess work
Alafu guess what
Watarudi kutuitisha kura

Nina ditect lies mob ni ma deceit icons
Shapeshifters ni ma decepticons
Ha izo ridhe ziko
Wha wha wha
Choshwa decepticons

Tapi

Wa wa wa wa wa
Oi, iweke tu mahali pa poa
Deceit icons, decepticons decepticons
Ye ye ye ye ye
Transformers
Hizo rithe ziko yooooo
Choshwa ni decepticons

Truce Label
Kunta K Dawg
Shout out
You already know

P-Mani

Ha

Ye ye ye ye tingisha wavu
Kuwapa mambo kavu
Cafu nakupata clearly
Tapi P-Mani Ares Big Beats
Roger that doh na search
Nikidai matawi usiku silali
Njei wandai ushuru
So kwa booth na tell tha youth tha truth

Ayo

Resist easy Deceits
Insist kuitisha receipts
Tuwache kua na opportunies missed

Ayo

Resist easy Deceit
Insist kuitisha receipts
Tuwache kua na opportunies missed
Ayo

Atleast tuwe na tumaini ya ku fry tu mahini
Tuki furahi bila kuchoma liver na kuruka mimba
Hizi kukuru kakara za kuibia safara za choma picha

Ayo ayo

Deciet icon vinyonga na python
To them everything ni for sale
For f sake souls za youth wana forsake
Na haijishi as long they get to tha cake
Cant afford hata kidogo mistake
Man had to put brake kukuaa baked nadai shake
Hapa ukislake pata we ndio kitoewo kwa plate
Hope unani get too match at stake

Illicit moves, financed by illicit crews
Youths waki snooze juu ya ma illicit brews

Time ya ku-elect wana talk fine with me
Sahii na malo test hizo job ziko
Hizo job ziko wha wha

Shape shifters ni ma deciepticons
Choshwa na deceipticons
Waa waa
Hizo job ziko
Hizo job ziko
Wha wha
Hawa ni ma decepticons
Wa wa ni ma decepticons

Nothing new same all deep fakes
Must stay woke decipher tha news
Keep eye contact kwa high places
Uklepto ni maniac, as they rob us raw
Tukizubaa na Nyash na callin za shash

Nikipiga nduru siko makuguru
Hapana ogopa ni shout out
Career niki sort out na go all out
Afraid kua slept on
Ka haba wa juzi ana purura Amarula akizurura
La raaaah na najua nina ujuzi na ni masaa ya kula
Ka Martin Luther nina dreams
Sio donto za kitoto
Kingdom come thru that dot com
The time is now na nina ubao
Kwa ubao nipe blueprint kwa upana
Three D ikiwesekana vile hii weze itapakina Turkana

Si silly wizdom mchana
Sulihisho za hizi drought ya global warming
No more makofi for ocean mopping
Hizi si time ya kuchase clout
Nataka
Nataka kuskia sulihisho za kutatua hizi drama
Kabla muanze masama za kugeuza chama
Kuna vile naweza kusave iyo matanga
Bila hizi sulihisho nikusho
Si lazima usimame
Hata kama we ndio umekalia kiti
Sitaki kuskia mambo ya 2027 ama 32
Pana taka skia mambo ya the 6th ama the 7th
How do we get thru the next seven
Tuna skuma wiki maybe mwili haiko willing

P-Mani
Tapi
Cafu Da Truth
Decepticons
Ares kwenye Beat Big Beatz
Truce Label
K Dawg
Kunta
Awoah

Ayo Ayo
Resist hizi deceit insist kuitisha receipts
[ Correct these Lyrics ]

[ Correct these Lyrics ]

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.


We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.




Yo yo Tapi
Ni Cafu hapa unanipata nini
I hope so unanipata
Unanipata
Whaaat, Gat them
Hope uninipata

After kura ma transformers wanakula tunazoza
Na mabunda tumesorta

Hizo ridhe ziko
Ha ha ha
Choshwa decepticons
Ha choshwa decepticons

Nina detect lies mob ni ma deceit icons
Shapeshifters ni ma decepticons
Ha izo ridhe ziko wha wha wha
Choshwa decepticons

Ni doggy style so put ur bottoms up
Ulive the dream campaign ulikua hustler mzibinting
Bottom line uli miss leak
Ulipewa wheel barrow na ndoto za kuridhi jeep
Uko jobless why all this protests
Silly me niku kosa usingizi juu wame tax hadi sleeping pills
Ha, naring dumbells nikiingia jing session
Economy rated R ju tulivotia recession
Tulidhani ni wasee wa power
Ha, Blackout plus rice Kwa rotation
Na dame anategea ni rise tu the occasion
Diesel hata imewacha kua moto
Juu hata shetani hawezi afford petrol
Competition hadi na shell
After chapo dodo, nauza gas station
System imetuf*ck na mwaka moja, ina-need castration
Minyoo zinaamka midnight kukuambia ni leo sio kesho
Na ma-GPS ma location karibu niingize x box
Ni rapist najaribu kupatia sex talk
Words kibao na less walk
Mchezo kibao na less work
Manifesto guess work
Alafu guess what
Watarudi kutuitisha kura

Nina ditect lies mob ni ma deceit icons
Shapeshifters ni ma decepticons
Ha izo ridhe ziko
Wha wha wha
Choshwa decepticons

Tapi

Wa wa wa wa wa
Oi, iweke tu mahali pa poa
Deceit icons, decepticons decepticons
Ye ye ye ye ye
Transformers
Hizo rithe ziko yooooo
Choshwa ni decepticons

Truce Label
Kunta K Dawg
Shout out
You already know

P-Mani

Ha

Ye ye ye ye tingisha wavu
Kuwapa mambo kavu
Cafu nakupata clearly
Tapi P-Mani Ares Big Beats
Roger that doh na search
Nikidai matawi usiku silali
Njei wandai ushuru
So kwa booth na tell tha youth tha truth

Ayo

Resist easy Deceits
Insist kuitisha receipts
Tuwache kua na opportunies missed

Ayo

Resist easy Deceit
Insist kuitisha receipts
Tuwache kua na opportunies missed
Ayo

Atleast tuwe na tumaini ya ku fry tu mahini
Tuki furahi bila kuchoma liver na kuruka mimba
Hizi kukuru kakara za kuibia safara za choma picha

Ayo ayo

Deciet icon vinyonga na python
To them everything ni for sale
For f sake souls za youth wana forsake
Na haijishi as long they get to tha cake
Cant afford hata kidogo mistake
Man had to put brake kukuaa baked nadai shake
Hapa ukislake pata we ndio kitoewo kwa plate
Hope unani get too match at stake

Illicit moves, financed by illicit crews
Youths waki snooze juu ya ma illicit brews

Time ya ku-elect wana talk fine with me
Sahii na malo test hizo job ziko
Hizo job ziko wha wha

Shape shifters ni ma deciepticons
Choshwa na deceipticons
Waa waa
Hizo job ziko
Hizo job ziko
Wha wha
Hawa ni ma decepticons
Wa wa ni ma decepticons

Nothing new same all deep fakes
Must stay woke decipher tha news
Keep eye contact kwa high places
Uklepto ni maniac, as they rob us raw
Tukizubaa na Nyash na callin za shash

Nikipiga nduru siko makuguru
Hapana ogopa ni shout out
Career niki sort out na go all out
Afraid kua slept on
Ka haba wa juzi ana purura Amarula akizurura
La raaaah na najua nina ujuzi na ni masaa ya kula
Ka Martin Luther nina dreams
Sio donto za kitoto
Kingdom come thru that dot com
The time is now na nina ubao
Kwa ubao nipe blueprint kwa upana
Three D ikiwesekana vile hii weze itapakina Turkana

Si silly wizdom mchana
Sulihisho za hizi drought ya global warming
No more makofi for ocean mopping
Hizi si time ya kuchase clout
Nataka
Nataka kuskia sulihisho za kutatua hizi drama
Kabla muanze masama za kugeuza chama
Kuna vile naweza kusave iyo matanga
Bila hizi sulihisho nikusho
Si lazima usimame
Hata kama we ndio umekalia kiti
Sitaki kuskia mambo ya 2027 ama 32
Pana taka skia mambo ya the 6th ama the 7th
How do we get thru the next seven
Tuna skuma wiki maybe mwili haiko willing

P-Mani
Tapi
Cafu Da Truth
Decepticons
Ares kwenye Beat Big Beatz
Truce Label
K Dawg
Kunta
Awoah

Ayo Ayo
Resist hizi deceit insist kuitisha receipts
[ Correct these Lyrics ]
Writer: Stephen Mwangi, Peter Mutisya
Copyright: Lyrics © O/B/O DistroKid

Back to: P-Tah

Tags:
No tags yet