Ee baby we, sije niache mi upweke, mwenzangu nihurumie
Si will yange, nije nikutende hivi naomba mi unisamehe
Siwezi we, unabadilika ka kinyonga ni vipi mi nikuelewe
What's wrong with me, shetani ipi iliniambia mimi nikupende
Hivi mi hujiuliza ni kosa kupenda, ju napenda tu mtu anayejipenda
Premier league ungekua striker sio defender, balon d'or ndio zako vile umenicheza
Na naumia moyo for real, ju ni mengi sana mpenzi wangu we uliniahidi
This ain't no joke, I'm for real, tukianza date si nilikuambia I know my worth mimi
Ee baby we, sije niache mi upweke, mwenzangu nihurumie
Si will yange, nije nikutende hivi naomba mi unisamehe
Siwezi we, unabadilika ka kinyonga ni vipi mi nikuelewe
What's wrong with me, shetani ipi iliniambia mimi nikupende
Najua mpenzi ki contract, nimekutenda, lakini ndani ya roho you have signed the papers
Juu ya kosa moja mbona unaenda, si nilidhani tutahesabu miaka kenda
Na waumia moyo for real, ju ni mengi sana mpenzi wangu mi nilikuahidia
This ain't no joke, you're for real, tukianza date si uliniambia you know your worth dear