Hallel
Hallel
Hallel
Hallel, Hallelujah
For the Lord is Good, Hallelujah
For the Lord is Good, Hallelujah
He is great in strength, Hallelujah
He is great in strength, Hallelujah
Hallel
Hallel
Hallel
Hallel, Hallelujah
Uu Mwema, matendo yako hayahesabiki Bwana
Uu Mfariji, watosheleza kiu ya wanyonge
Uu Mwema, rehema zako mpya kila asubuhi
Uu Mfariji, washibisha haja ya moyo wangu
Wewe U Mwema, Hallelujah
Wewe Mfariji, Hallelujah
Wewe U Mwema, Hallelujah
Wewe Mfariji, Hallelujah
Hallel
Hallel
Hallel
Hallel, Hallelujah
Twakubariki Jina lako
Wewe ni Mungu Bwana
Mtakatifu
Twakusifu, twakuinua
Hallelujah, Hallelujah
Bwana wa Bwana
Mfalme wa Wafalme
Uinuliwee
Mfariji wa wanyongee
Ooh ooh
Hallelujah
Eeh eeh
Hallelujah