Nauliza nani apendi vitu vitamu
Nani hapendi mtelemko
Nani hapendi madiko diko
Kama yupo basi ana matatizo
Haka kamchezo bhana kanapendwa mpaka na vichaa
Ukisema hakana manaa kila mtu atakushangaa
Wengine wanakacheza wakilewa tila lila
Tungi limeshatinga wanapiga kama mpila
Kamchexo katamu kanatiaga wazimu
Haka kamchezo katamu kanatiaga watu wazimu
Haka kamchezo kanapendwa nawengi
Kuanzia watoto mademu mpaka madingi
Haka kamchezo kanapendwa na wengi
Kuanzia wazee masela mpaka madingi
Wanangu twende twende pamoja twende
Mademu twende twende pamoja twende
Watoto twende twende pamoja twende
Kinamama twende twende pamoja twende
Sinywi wala sivuti ila kwenye kamchezo mi ni nuksi
Kamchezo kana sheria wengi wanazivunja
Wanafunzi washule za msingi awaruhusiwi lakin ndio mafundi
Ukichanganya wa sekondari wakike wao wanacheza na madingi
Masharti hayazingatiwi kila mtu anacheza anavojua
Kamewateka mabinti wengine wanakafanya biashara
Haka kamchezo kunawatu wanaendekeza
Haswa masikini ndio mabingwa wa kukacheza
Wakipata wanacheza kamchezo tena kwa swagga
Wakikosa wanajiliwaza kwa kamchezo kesho watapata
Haka kamchezo kanapendwa nawengi
Kuanzia watoto mademu mpaka madingi
Haka kamchezo kanapendwa nawengi
Kuanzia wazee masela mpaka madingi
Wanangu twende twende pamoja twende
Mademu twende twende pamoja twende
Watoto twende twende pamoja twende
Kinamama twende twende pamoja twende
Haka kamchezo kunawatu wanaendekeza
Haswa masikini ndio mabingwa wa kukacheza
Wakipata wanacheza kamchezo tena kwa swagga
Wakikosa wanajiliwaza kwa kamchezo kesho watapata
Kamchezo ni katamu mpaka matajili wanakachezaga
Waliojifanya wagumu walipokaonja wakanogewaga
Haka kamchezo kanapendwa nawengi
Kuanzia watoto mademu mpaka madingi
Haka kamchezo kanapendwa nawengi
Kuanzia wazee masela mpaka madingi
Wanangu twende twende pamoja twende
Mademu twende twende pamoja twende
Watoto twende twende pamoja twende
Kinamama twende twende pamoja twende
Haka kamchezo kanatiaga wazimu
Haka kamchezo katamu katiaga watu wazimu