Unanijua mimi au unanisikia
Unanijua mimi wewe utakua unajisikia
Ninachojua maneno hayavunjagi mifupa
Wewe niseme na ukiishiwa nitakupa
Yani ninavoishi sio kama wanavotaka wao
Wana habari zangu cha ajabu zinaga zao
Hawanibabaishi hata waniwekee vikao
Acha waongee maana mdomo mali yao
Mimi! Ukinichukia nami nitakuchukua
Mimi! Usipopiga nami sitokupigia
Ukibeba goma langu nabeba lakwako pia
Ukichepuka nami nachepuka dear
Ayee am living my life acheni ni enjoy
Ukisikiliza ya watu hakiamungu hutoboi
Am living my life acheni ni enjoy
Ukisikiliza ya watu hakiamungu hutoboi
Yee yee yee (unanijua mimi) ayee yee yeee yee (au unanisikia)
Yee yee yee (unanijua mimi wewe) ayee yee yeee yee (utakua unanisikia)
Hasabui mzigoni jioni tunakula bia
Kama hunioni sikuoni ukiniona nakuona pia
Yaah! Ungaunga mwana ndo maisha niliozoea
Unajifanya nunda mwenzako nishabobea
Ukilete mdomo uswazi ndo napo tokea
Aya leta hadithi zako utamu kolea
Ayee wanashangaa navimba na sina hata mia
Na sio kama ni ushamba ila ndo maisha nilio chagua
Ayee am living my life acheni ni enjoy
Ukisikiliza ya watu hakiamungu hutoboi
Ayee Am living my life acheni ni enjoy
Ukisikiliza ya watu hakiamungu hutoboi
Yee yee yee (unanijua mimi) ayee yee yeee yee (au unanisikia)
Yee yee yee yee (unanijua mimi wewe) ayee yee yeee yee (utakua unanisikia)
Yee yee yee am living my life eeh acheni ni enjoy
Yee yee yee ukisikiliza ya watu eeh hakiamungu hutoboi
Yee yee yee ayeee yee yee yee
Yee yeee yeee yeee ayee yee yee yee