Ni Tabibu wa karibu
Tabibu wa ajabu
Ni Tabibu wa karibu
Tabibu wa ajabu
Ni Tabibu wa karibu
Tabibu wa ajabu
Ni Tabibu wa karibu
Tabibu wa ajabu
Njooni muyatazame matendo makuu ya Yesu
Tabibu wa ajabu
Anaganga moyo nafsi hata akili pia
Tabibu wa ajabu
He is here today he offers free treatments
Great physician Great physician
Njooni muyatazame matendo makuu ya Yeesu
Ni Tabibu wa karibu wa karibu
Tabibu wa ajabu
Ni Tabibu wa karibu
Tabibu wa ajabu
Ni Tabibu wa karibu
Tabibu wa ajabu
Ni Tabibu wa karibu
Tabibu wa ajabu
Mwenyewe aliutwaa udhaifu wetu na kuyachukua masikitiko yetu
Na kwa kupigwa kwa Yesu tumepona kweli Ni Tabibu wa karibu
Mwenyewe aliutwaa udhaifu wetu na kuyachukua masikitiko yetu
Na kwa kupigwa kwa Yesu tumepona kweli Ni Tabibu wa karibu uu
Ni tabibu wa karibu
Tabibu wa
Ni Tabibu wa karibu
Tabibu wa ajabu
Ni Tabibu wa karibu
Tabibu w ajabu
Ni tabibu wa karibu
Tabibu wa ajabu
Ni tabibu wa karibu
Tabibu wa ajabu