Baada ya kuwa peke yangu
Na marafiki zangu wote wana vitu vya kufanya
Wote wana plan ukikosea tunakukanya
Nawaita wanangu, nadhani ushanimanya
Nilikua busy japo nilikua Tanzania
Kubadilikiana huo ni wana ambao sijawahi fanya
Sijawahi kujua kuhusu wewe
Najaribu kuleta maana
Hata kwa marafiki zangu wa kike
Nilikua kama panya
Nilipogundua wanavutia
Nikajaribu tendo la mmh mmh mmh kufanya
Ni upuuzi nimemuacha shawty wangu na marafiki na ushabiki niliokusanya
Sasa hatuongei sana, ana kwa ana, hata kama mbele yake najulikana
Tulikua tukipenda ku chill kando kando ya beach
Mara ya mwisho aliniuliza inakuaje muda wote unakua mbali oh shi
Washkaji wanauliza session ilikuaje ilikua kali au ilikua normal
Mi kijana wa hapa hapa east
Ni yeye tu na marafiki
Kila siku napiga kazi nyingine
Usiporudi nitapata mwingine
Mi kijana wa hapa hapa east
Ni yeye tu na marafiki
Kila siku napiga kazi nyingine
Usiporudi nitapata mwingine
Hatimae nimerudi home
Muda mchache baadae nikaanza washa bonge tom eh
Ilikua kupunguza stress, kuongeza amani
Naimani akirudi tutaweza kuwa marafiki hata kama sio kama zamani
Ni yeye tu na marafiki
Mi kijana wa hapa hapa east
Kila siku napiga kazi nyingine
Usiporudi nita tafuta mwingine
Laaa la la la la laaa da da da da da da daah talala ta uh talalaah ta ah tatala