Back to Top

Michael Magow - Fanta Lyrics



Michael Magow - Fanta Lyrics
Official




Kila nachotoa fan
Kila nachotoa fan
Kila nachotoa fan
Kila nachotoa fan
Kila nachotoa fan
Kila nachotoa fanta
Wanafata
Na kila nachogusa kinawaka
Kila sehemu nayoenda nakamata
It don't matter
Mi ni nani
Mi ni bonge la hustler
Yeah yeah
Nipo mbali siwezi potezaga mida
Sihitaji maneno matupu kila muda
Kama sio mwana usije ukaniletea shida
Maana, ma saa mengi mchizi nakua Gdup
Kila nachotoa fanta
Wanafata
Na kila nachogusa kinawaka
Kila sehemu nayoenda nakamata
It don't matter
Mi ni nani
Mi ni bonge la hustler
Yeah yeah
Nipo mbali siwezi potezaga mida
Sihitaji maneno matupu kila muda
Kama sio mwana usije ukaniletea shida
Maana, ma saa mengi mchizi nakua Gdup
Nazirusha ryhmes straight from kiga
The way nafanya B.I.G niite bigger
Bobu huwezi kuja hapa me and my neegas
After dark ndani ya BGM tunapiga
Siku chache nyuma nimetenda vitu vingi
Homie ananiuliza hizo sunami or wimbi
Dodo anaelewa sababu huwa si vimbi
Kwahiyo nipe heshima yangu kwa wingi
Nipe heshima yangu kwa wingi
Nikiwa tungi si yumbi
Mambo yakiwa mengi si bongi
Nyau bad smell sigongi
This why im hot si vungi
Kwa siku 12 joints toka zenji
Nafanya fanya
Nafanya sana ushenzi
Sijari kuhusu chenji
Neega this is nu enzi
I shout out with my bands
I don't care about tenzi
I don't care about tenzi
Kila nachotoa fan
Kila nachotoa fan
Kila nachotoa fan
Kila nachotoa fan
Kila nachotoa fan
Wanafata
Na kila nachogusa kinawaka
Kila sehemu nayoenda nakamata
It doesn't matter
Mi ni nani
Mi ni bonge la hustler
Yeah yeah ni bonge la hustler
Nipo mbali siwezi potezaga mida
Sihitaji maneno matupu kila muda
Kama sio mwana usije ukaniletea shida
Maana, ma saa mengi mchizi nakua Gdup
Mchizi nakua Gdup
Mchizi nakua Gdup
Kila nachotoa fan
Kila nachotoa fanta
Wanafata
Na kila nachogusa kinawaka
Kila sehemu nayoenda nakamata
It don't matter
Mi ni nani
Mi ni bonge la hustler
Yeah yeah
Nipo mbali siwezi potezaga mida
Sihitaji maneno matupu kila muda
Kama sio mwana usije ukaniletea shida
Maana, ma saa mengi mchizi nakua Gdup
Nazirusha ryhmes straight from...
[ Correct these Lyrics ]

[ Correct these Lyrics ]

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.


We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.




Kila nachotoa fan
Kila nachotoa fan
Kila nachotoa fan
Kila nachotoa fan
Kila nachotoa fan
Kila nachotoa fanta
Wanafata
Na kila nachogusa kinawaka
Kila sehemu nayoenda nakamata
It don't matter
Mi ni nani
Mi ni bonge la hustler
Yeah yeah
Nipo mbali siwezi potezaga mida
Sihitaji maneno matupu kila muda
Kama sio mwana usije ukaniletea shida
Maana, ma saa mengi mchizi nakua Gdup
Kila nachotoa fanta
Wanafata
Na kila nachogusa kinawaka
Kila sehemu nayoenda nakamata
It don't matter
Mi ni nani
Mi ni bonge la hustler
Yeah yeah
Nipo mbali siwezi potezaga mida
Sihitaji maneno matupu kila muda
Kama sio mwana usije ukaniletea shida
Maana, ma saa mengi mchizi nakua Gdup
Nazirusha ryhmes straight from kiga
The way nafanya B.I.G niite bigger
Bobu huwezi kuja hapa me and my neegas
After dark ndani ya BGM tunapiga
Siku chache nyuma nimetenda vitu vingi
Homie ananiuliza hizo sunami or wimbi
Dodo anaelewa sababu huwa si vimbi
Kwahiyo nipe heshima yangu kwa wingi
Nipe heshima yangu kwa wingi
Nikiwa tungi si yumbi
Mambo yakiwa mengi si bongi
Nyau bad smell sigongi
This why im hot si vungi
Kwa siku 12 joints toka zenji
Nafanya fanya
Nafanya sana ushenzi
Sijari kuhusu chenji
Neega this is nu enzi
I shout out with my bands
I don't care about tenzi
I don't care about tenzi
Kila nachotoa fan
Kila nachotoa fan
Kila nachotoa fan
Kila nachotoa fan
Kila nachotoa fan
Wanafata
Na kila nachogusa kinawaka
Kila sehemu nayoenda nakamata
It doesn't matter
Mi ni nani
Mi ni bonge la hustler
Yeah yeah ni bonge la hustler
Nipo mbali siwezi potezaga mida
Sihitaji maneno matupu kila muda
Kama sio mwana usije ukaniletea shida
Maana, ma saa mengi mchizi nakua Gdup
Mchizi nakua Gdup
Mchizi nakua Gdup
Kila nachotoa fan
Kila nachotoa fanta
Wanafata
Na kila nachogusa kinawaka
Kila sehemu nayoenda nakamata
It don't matter
Mi ni nani
Mi ni bonge la hustler
Yeah yeah
Nipo mbali siwezi potezaga mida
Sihitaji maneno matupu kila muda
Kama sio mwana usije ukaniletea shida
Maana, ma saa mengi mchizi nakua Gdup
Nazirusha ryhmes straight from...
[ Correct these Lyrics ]
Writer: Michael Magori
Copyright: Lyrics © O/B/O DistroKid




Michael Magow - Fanta Video
(Show video at the top of the page)


Performed By: Michael Magow
Length: 4:33
Written by: Michael Magori

Tags:
No tags yet