Sura yako inaonesha ishara ya furaha na faraja pia
Lakini ni dhairi kuwa ukifika kwako machozi ukutoka
Niliyofanya bila wewe kugundua ni mengi pia
Sijayaweka wazi kusudio kuulinda moyo wako
Na ndio maana tuligombana juu ya love bite shingoni
Nilichora tatoo ya jina lako mkononi hivi sasa huioni
Nawazaaa jinsi ya kukueleza
Nakosaaaa nguvu ya kukueleza
Nashindwaa jinsi ya kusemaaaa
Umejaribu kutetea penzi
Mahala ambapo
Hakuna penzi
Nawazaaa, nikupe penzi gani kwa moyo wangu
Nimebadilika, nimebadilika
Sitokuridhisha
Usiwaze tena kuhusu kunibadili mimi, nakuomba unipende kama nilivyo
Naumiaa sanaaa eiii
Nikiwazaaa jinsi unavyonipendaaaa
Wengi walisema wewe uachane namii
Uvumilivu wako umekufanya umebaki nami
Nashangaa moyo wa ajabu uliokuwa nao
Umeng'ang'ana kwenye penzi langu
Japo unaumia sanaaa iyeiyeeee
Nawazaaa jinsi ya kukueleza
Nakosaaaa nguvu ya kukueleza
Nashindwaa jinsi ya kusemaaaa
Umejaribu kutetea penzi
Mahala ambapo
Hakuna penzi
Nawazaaa, nikupe penzi gani kwa moyo wangu
Nimebadilika, nimebadilika
Sitokuridhisha
Usiwaze tena kuhusu kunibadili mimi, nakuomba unipende kama nilivyo
Vingi vyangu vimekuchosha
Najuta fanya vitu nilifanya and am never going back
Ni penzi la kutisha
Umenipa nafasi you got me feeling so crazily in love with you
Ni wazi boo you're out of this world
Niko na four little words
Your love is flowing like blood
Na wewe ninaweza ku fly
Feel like i can touch the sky
And i can never deny yere
Umeni tease till am feeling like ushu
One and only
You got me rolling
Running after your love
Like speeding
Craving for that intimacy
I think i like what i see
I think i want you to be my one and only
Umeniweka na kunipa cv
Truly happy and free
You got me feeling on fleek like Lex Adam's peace
Where would I be ka ungesepa in flee
Mi ningedanja for real and loose everything eey
Umenijali penda counting for me
Kwa drama zote you were always with me
Like bae I got you