You're enough for me
King you're enough for me
Father you're enough for me
Wengi wanataka doo
Na wengine wanataka fame
Hizi hazikosi every single time we pray
Tukizipata tunataka more
Baba tukikosa
You're the one to blame
Kuna kitu leo nimecome kusay
Umeniweza
Bwana wangu
Umeniweza aaahhh
Bwana wangu
Baba mbona ukapenda mtu kama mimi
Ukaniita hata kabla mi nikuamini
Kuna mambo mengi I cannot explain
Na sasa Uwepo wako
Pumzi yangu
Neno lako
Taa ya miguu yangu
Umenitosha
Oohh lazima niimbe
Umeniweza
Bwana wangu
Umeniweza aaahhh
Bwana wangu
Umeniweza
Bwana wangu
Umeniweza aaahhh
Bwana wangu
Umeniweza
Bwana wangu
Umeniweza aaahhh
Bwana wangu
Hadi ile siku utacome
Naomba picha yetu mimi nisiburn
Uniweze leo and every other day
Ukisema well done
Kazi ulinipa nimemaliza
Niweze leo and every other day