Ita jina la Yesu
Jina la Yesu
Naita jina la Yesu
Call the name of Jesus
Ita jina la Yesu
Jina la Yesu
Naita jina la Yesu
Call the name of Jesus
Kuna place ujanja wangu hudie
Kila kitu ningeweza nimetry
Na bado sioni
Najua unajua hiyo place
Mara ngapi umejifind
Kwa floor uki cry
Na bado huoni
Huoni
Ni rahisi kugive up
Kusahau kuwa Yesu bado ako juu
Ako juu ako juu ako juu
Ninapohisi kugive up
Nitaliita hilo Jina lenye nguvu
La Yesu
That name it has power
Name
Super power
Name
Wonder working power
Call the name of Jesus
That name it has power
Name
Super power
Name
Wonder working power
Call the name of Jesus
Ita jina la Yesu
Yesu
Jina la Yesu
Naita jina la Yesu
Call the name of Jesus
Ita jina la Yesu
Asubuhi
Jina la Yesu
Naita jina la Yesu
Call the name of Jesus
Hilo jina
Ni jina hakika
Linavunja nira
Na kushinda nguvu za giza
Jina la Yesu
Ni ngome imara
Nalikimbilia
Ili niwe salama
Ametupa amri ya kukanyaga
Nge na nyoka tuna mamlaka
Ametupa amri ya kuondoa
Milima na kuizamisha
That name it has power
Name
Super power
Name
Wonder working power
Call the name of Jesus
That name it has power
Name
Super power
Name
Wonder working power
Call the name of Jesus
Ita jina la Yesu
Jina la Yesu
Naita jina la Yesu
Call the name of Jesus
Ita jina la Yesu
Jina la Yesu
Naita jina la Yesu
Call the name of Jesus
Ita jina la Yesu
Jina la Yesu
Naita jina la Yesu
Call the name of Jesus
Ita jina la Yesu
Jina la Yesu
Naita jina la Yesu
Call the name of Jesus
Ita jina la Yesu