Baba
Ukisema Utanipa millions
Nitalala nazo account
Na pia tena Baba
Ukisema kipofu aone
Atakesha na mamovie kwa couch
Hakuna jambo lolote
Usiloliweza
Nikitafuta nje Yako
Nimepoteza
Itamfaidi vipi binadamu
Kuupata ulimwengu
Na kupoteza nafsi yake
Nichukue vile nimecome
Unijaze na roho wako
Utulivu wako
Itamfaidi vipi binadamu
Kuupata ulimwengu
Na kupoteza nafsi yake
Nichukue vile nimecome
Unijaze na roho wako
Utulivu wako
Heri niwe chini
Uniinue juu
Kuliko kuwa juu bila Wewe
Heri niwe chini
Uniinue juu
Nifunze kukungoja
Wako wengi
Mashuhuri
Na viburi
Viliwashusha
Kwenye ratings juu sana
Form za kujigamba
Mitaani Walichachisha
Peke yangu mi siwezani
Nijipige kifua vipi
Kama nani
Nimekuja na wangu uzani
Chukua yote niwe mwepesi
Neema Yako imepita ganji
Nipe maradufu
Isifike nijiamini
Na kipaji
Nione nimefuzu yeah
Oooh neema Yako imepita ganji
Nipe maradufu
Isifike nijiamini na kipaji
Nione nimefuzu
Heri niwe chini
Uniinue juu
Kuliko kuwa juu bila Wewe
Heri niwe chini
Uniinue juu
Nifunze kukungoja
Heri niwe chini
Uniinue juu
Kuliko kuwa juu bila Wewe
Heri niwe chini
Uniinue juu
Nifunze kukungoja
Niko kwa shule yako
Leo niko kwa shule yako
Heri niwe chini
Uniinue juu
Kuliko kuwa juu bila Wewe
Heri niwe chini
Uniinue juu
Nifunze kukungoja
Kukungoja kukungoja