Kweli umeninyoosha mwenzangu
Nakuzifanya chujio mboni zangu
Mikono juu nanyoosha ww si fungu langu
Kwa glkugivisha ngoz ya kondoo kumbe chui
Moyo niliweka bond rehani kudata na penz lako
Kwa upendo wako sikuzan utaniacha na utaenda zako
Kutwa nzima moyo wa sonona
Kwenye kina cha mapenz nilizama sababu yako
Aie moyo wangu
Ie moyo wangu
Aie kwa ulivyo vifanya mungu atanilipia
Aie wapi kosa langu
Ie mwenzangu
Aie sishindan
Bora namuachia
Sasa nimekua kimya atakauli sina tena
Ata mamy nyumban alijua chanda chema ndo we
Japo kichwan sipo vizuri nachoshukuru naema
Ila kidonda ulicho niachia bado na chechema
Nilikupenda ukunipenda asanikiwa chumban nakiwaza aya
Inaniuma nikiwaza sana nimekua wa mitungi kama konk fire
Kutwa nzima moyo wa sonona
Kwenye kina cha mapenz nilizama sababu yako
Aie moyo wangu
Ie moyo wangu
Aie kwa ulivyo vifanya mungu atanilipia
Aie wapi kosa langu
Ie mwenzangu
Aie sishindan
Bora namuachia
Sasa hivi naishi kwa amani SAWA
Stress zimekwisha sio kama zaman AYAA
Kwan kitu gani SAWA
Niwengi waliopita uko zaman AYAA
Bora niturie