Kigori, ushanipiga roba kabali
Silali, penzi nshacheza kamali
Natupa kwako dolali
Kwengine sina habari
Penzi lako tamu tamu tamu tamu hatari
Sipendi kuona ukinuna we ndo furaha yangu mie (mie mie)
Yani penzi lako tamu tamu hatari
Unanikosha pale aeeh
Unavonyumbulika nyumbulika on bed
Yani dosalale, umeniweza kabisa sijiwezi
I'm yo passenger ooh, passenger ooh baby
I'm yo passenger ooh, passenger ooh baby
I'm yo passenger ooh, passenger ooh baby
Unavyosakata unanikuna mama Eh
Umenilevya na body
Sio chakakacha, wacheza kila ngoma
I wanna marry you, marry you (Uuh)
Ukinitazama jicho la maringo (Eeh)
Me nachapa fimbo
Ukiinama, ukiinuka fimbo
Sipendi kuona ukinuna we ndo furaha yangu mie (mie mie)
Yani penzi lako tamu tamu hatari
Unanikosha pale aeeh
Unavonyumbulika nyumbulika on bed
Yani dosalale, umeniweza kabsa sijiwezi
I'm yo passenger ooh, passenger ooh baby
I'm yo passenger ooh, passenger ooh baby
I'm yo passenger ooh, passenger ooh baby