Unaniletea Ustar Me Mwenyewe
Star Mama Yangu
Star Baba yangu
Star Hiyo Bebe yangu
Star X wangu Star Dj wangu Star mpaka Bodyguard star
So usituletee U star (star)
Atushobokei U star (star)
Wanangu ma Star (star)
Mpaka snitch wangu star (star)
Wewe unaniletea U (star )
Jirani yangu star
Mwenye nyumba wangu (star)
Mpaka Bodaboda star
Kumanisha nini
Hainaga show show (hainaga shobo wanangu)
Hainaga kutubu tubu (haina shobo wangu)
Masponsa si wanazo doo (hainaga shobo wanangu)
Nguvu za kiume tunazo sisi (hainaga shobo wanangu)
Hainaga show show (hainaga shobo wanangu)
Ainaga kujishauwa (hainaga shobo wanangu)
Dada akipita na bwana ako (hainaga shobo wanangu)
Nawe pita na baba yake (hainaga shobo wanangu)
Mala Ooh!! Mademu wa sinza tabata wana U.T.I nyooo)
Mademu wa chuga kiuno kigumu (nyooo)
Mademu wembamba wanaomba vocha (nyooo)
Mademu wa fupi eti wabishi (nyoo, nyooo)
So usituletee U star (star)
Atushobokei U star (star)
Wanangu ma Star (star)
Mpaka snitch wangu star (star)
Wewe unaniletea U star (star)
DJ wangu star, mwenye nyumba wangu star mpaka
Bodaboda star
Oyaa Hainaga show show (hainaga shobo wanangu)
Ainaga kujishauwa (hainaga shobo wanangu)
Wewe ukimpa macho matatu (hainaga shobo wanangu)
Sisi anatupa jicho moja (hainaga shobo wanangu)
Kumanisha nini
Hainaga show show (hainaga shobo wanangu)
Ainaga kutili tili (hainaga shobo wanangu)
Wewe ukimlewesha (hainaga shobo wanangu)
Sie kwa bed tunamkeshesha (hainaga shobo wanangu)
Unataka gari na hauna salio (nyoo)
Bwana mdogo si unakijambio (nyoo)
Piga kelele nyingi kama una kalio na kama hauna kalio tingisha hilo fagio (nyoo) Nyoo)
So usituletee U star (star)
Atushobokei U star (star)
Wanangu ma Star (star)
Mpaka snitch wangu star (star)
Wewe unaniletea U (star)
DJ wangu star
Mwenye nyumba wangu star mpaka bodaboda star