Verse 1:
Imagine tayari nilikuwa nishasahau
Kwamba leo ni siku ya kusherehekea
Nivenye nimewa busy nikihustle dooh
Na picha yako sitaiweka kwa mitandao
Na usidhani kwamba sikuwa nacare
Nivenye safcom nina deni ya soo
Hook:
ningelikuwa na pesa ningekubuyia kagari
Nikupe wee my dear
Nikupeleke uingereza
Ukaone umaridadii
Wa dunia
Imagine nimeshindwa, kuafford hata kagari, kakukuwishia
Happy birthday jibambee
Chorus:
Happy birthday...eeeeeeh.uoooooh x2
Verse 2:
Nakuombea uishi zaidi ya miaka elfu moja
Ndo ujionee wajukuu wako pamoja ma vitukuuu
Uwaeleze tulivyosaidiana, kama masoldier
Na kutoana machozi kama tumela vitunguuu
Hook:
ningelikuwa na pesa ningekubuyia kagari
Nikupe wee my dear
Nikupeleke uingereza
Ukaone umaridadii
Wa dunia
Imagine nimeshindwa, kuafford hata kagari, kakukuwishia
Happy birthday jibambee
Chorus:
Happy birthday...eeeeeeh.uoooooh x2
[Thanks to leteipathekk for adding these lyrics]