INTRO;
Ni vampK 254. Mhhhhh
VERSE 1:
Kukutazama, Ukitabasamu
Nikama kuwatch movie za afro, siwezi boeka
We ndo kitabu, Mi ndo kalamu
Niliumbwa kwa ajili yako, Kama masai na Rubeka
Ninatamani ningewa yako mavazi
Nikusitiri nikuguse Kila wakati
Ungewa stew ama kasupu ka mbaazi
Ningewa sembe Mokimo ama chapati
HOOK:
Baki na Mimi kipenzi, nikushughulikie
Kila asubihi, nirauke, ili nikupikie
Nikuogeshe, nikuvishe, mpaka uvutie
Kamba za viatu babe, mi nikufungie
CHORUS:
(Baki namimi) ntangangana nikuwe chochote unachotamani
(Ooh Baki namimi) nitakonda utavimba , utakopa ntalipa mama
(Baki na Mimi) naapa kukutunza kuliko wako wa zamani
(Ooh Baki na Mimi) ukisota ntaiba , Utapona nna tiba mamaa
VERSE 2:
Nakama ungewa, mwanasiasa,ninge piga kampeni zako
Nikusifie, kwa giza na mwangaza, mpaka kwa maadui zako
Nitakubusu bila woga hadharani
Ili wajue wewe ndo wangu mwandani
Ungewa kijiko lazma ningewa sahani
Kututenganisha Hilo haliwezekani
HOOK:
Baki na Mimi kipenzi, nikushughulikie
Kila asubihi, nirauke, ili nikupikie
Nikuogeshe, nikuvishe, mpaka uvutie
Na ukichoka,nikubebe, wivu wasikie
CHORUS:
(Baki namimi) ntangangana nikuwe chochote unachotamani
(Ooh Baki namimi) nitakonda utavimba , utakopa ntalipa mama
(Baki na Mimi) naapa kukutunza kuliko wako wa zamani
(Ooh Baki na Mimi) ukisota ntaiba , Utapona nna tiba mamaa
[Thanks to leteipathekk for adding these lyrics]