Eiyoo Awo Diambo - skiza
Ina itwa recession ilileta depression
Opression na Joblesnisation
Wazi niliwaga juu ya msoto tu man
Mawazo tu man mradi ita toka wapi tu man
Nimesota nimesota nimesota nimesota
Mpaka mkononi manze sina mbota
Fegi za kusokota ndio mi uburuta
Mi uota kanime osa kwa usingizi niki ng'orota
Nimesota nimesota nimesota nimesota
Mpaka mkononi manze sina mbota
Fegi za kusokota ndio mi uburuta
Mi uota kanime osa kwa usingizi niki ng'orota
Ni maisha gani hii mi na tia bidii
Lakini hakuna kitu yoyote najaribu ina ingiana dadii
Nina madeni mob nabado sijapata job
(Desperation) inafanya mi na hisia kusanya
Je raia wakinifanyia mob justice kuninyuria ki target practise
Ama nikuwe hunted mtaani wanted na staki kuwa kamated
Juu msaliti aliapa ati ni mnatty mwenye machette basi sharti
Maiaka twenty kwa simiti ya kamiti upokee vijiti na miti
Nimesota nimesota nimesota nimesota
Mpaka mkononi manze sina mbota
Fegi za kusokota ndio mi uburuta
Mi uota kanime osa kwa usingizi niki ng'orota
Nimesota nimesota nimesota nimesota
Mpaka mkononi manze sina mbota
Fegi za kusokota ndio mi uburuta
Mi uota kanime osa kwa usingizi niki ng'orota
Asubui saa moja na nimekazwa na haja
Siwezi toka kwa keja mbele ndani ya ploiti kuna vioja
Landlodi pamoja na mabodii wamengara mahoodi hodi hodi
Wanasema leo lazima kodi wanabisha kisha wananitisha
Wakichungulia kwa dirisha na kunichongoa kuhakikisha
Siwjajificha ndani jamani, yaani hii maisha inanitisha
Izi vikwazo ambazo ninazo zinani bamboozle my mawazo
Tafadhali sir godmaze nionyeshe nyota
Nimesota nimesota nimesota nimesota
Mpaka mkononi manze sina mbota
Fegi za kusokota ndio mi uburuta
Mi uota kanime osa kwa usingizi niki ng'orota
Nimesota nimesota nimesota nimesota
Mpaka mkononi manze sina mbota
Fegi za kusokota ndio mi uburuta
Mi uota kanime osa kwa usingizi niki ng'orota
Saa tisa mchana jivanjee nimechoka na pumzika
Nimeshinda masuffer tao mzimana solar ina mulika
Maze ako kapienga ka obriska nimechoma kameshika
Niki saniff kuna mbegu chache zilisahaulika
Zinalipuka off guard nastuka mpaka macho zinakondoka
Sina mate mdomo imekauka mpaka lips zimechubuka
Nimeseat kwa heat na ubao kaa shit na mahongo zimepita na mmango
Na ata sina mpango zakunganisha mabango
Nimesota nimesota nimesota nimesota
Mpaka mkononi manze sina mbota
Fegi za kusokota ndio mi uburuta
Mi uota kanime osa kwa usingizi niki ng'orota
Nimesota nimesota nimesota nimesota
Mpaka mkononi manze sina mbota
Fegi za kusokota ndio mi uburuta
Mi uota kanime osa kwa usingizi niki ng'orota
Ma qualification zimelaza kende kwa keja
Zina changa vumbi tu ii storii ni major
Kwa interview ati mi ni overqualified kwingine not satisfied
Walai stress zina multiply nikidai wooi gai why
Mashida za mine combine ni mob kama nguo kwa line
Ma sarakasi zilinifuata kwa kasi up to uku majuu
Na system imenikanyagia kama matope - chini ya njumuu
Mbuyu life imekuwa ngumu humu nashuku kama nita dumu
Nimesota nimesota nimesota nimesota
Mpaka mkononi manze sina mbota
Fegi za kusokota ndio mi uburuta
Mi uota kanime osa kwa usingizi niki ng'orota
Nimesota nimesota nimesota nimesota
Mpaka mkononi manze sina mbota
Fegi za kusokota ndio mi uburuta
Mi uota kanime osa kwa usingizi niki ng'orota
Matatu zangu tatu home kwetu hazipandwa na watu
Sai mi ni sufferer fukara juu ya biashara za hasara
Na ma hasira kwa barabara kukuru-Kakara
Mpaka wasapere wakinicheki wanasema (Ona ire faraa)
Sindio iyo sato maiko alinikiche coventry mako
Akashindwa ni nini na do kwa uduko ya matobbaco
Ni msoto si vaco nikisokota kiraiko kwa soko
Akaniwai pako ya embako na chengiko yote mfuko