Oh Lord I've messed up again
The thing I don't want to do is what I keep doing
Who is going to help me?
Lord Jesus, I ask
Please help me
To do the right thing
I ask for Your forgiveness
Please help me
Samahani Mungu Baba samahani
Samahani Mungu Baba tafadhali
Samahani Mungu Baba samahani
Samahani Mungu Baba tafadhali
Forgive me O dear God
(Ooooo aaaaaahhhh)
For all the things I've done
(Aaaaawww)
Have mercy on me Lord
(Ooooohhhh)
I come with open arms
I surrender to you Lord
(Ooooo aaaaaahhhh)
(Samahani Mungu Baba)
Your will and not my own
(Yale yote nimefanya)
Never going back
(aaaaahhhh)
Jesus I choose You
(Jesus I choose You)
Samahani Mungu Baba yale yote nimefanya
Madhambi nimetenda ndiyo sitaki kuyatenda
Huzuni chungu nzima imejaa moyo wangu
Hakuna mwingine anayeweza niokoa
Ewe Mola nisikie tafadhali ninaomba
Damu yako peke yake inaweza kuniosha
Maisha yangu yote ninakupa Ewe Mungu
Najua bila wewe sitaweza kutoboa
Najileta kwako Yesu roho yangu nafungua
Jana nyuma, leo mbele, kesho je, wapi tena
Nakumbuka Neno lako
Linasema nini tena
Neema Yangu yakutosha
Ushindi ushapata
Amani yako ndiyo itanishikilia sasa
Kule nimetoka hakuwezi nisaidia
Marafiki wengi lakini hakuna wa kuniokoa
Kwako Yesu nakimbia, msamaha nakuomba
Forgive me O dear God
(Ooooo aaaaaahhhh)
For all the things I've done
(Aaaaawww)
Have mercy on me Lord
(Ooooohhhh, oohh, ooohhh)
I come with open arms
I surrender to you Lord
(Ooooo aaaaaahhhh)
(Kwako Yesu nakimbia)
Your will and not my own
(Msamaha nakuomba)
Never going back
(Aaaaahhhh)
Jesus I choose You
(Jesus I choose You)
Leo ni siku mpya, msamaha nimepata
Mwanzo mpya, roho safi msalabani iliisha
Sasa lengo langu ni kukujulisha kwamba
Mzigo unabeba, mwachie Yesu Bwana
Ndugu yangu, dada yangu, nisikize kwa makini
Hakuna haja ya kujiumiza kwa utupu
Shikilia msamaha Bwana Yesu alikupa
Mapenzi yake kwako, haiwezi linganishwa
Yesu ndiye mfalme wa milele na milele
Mkombozi wa pekee alikufa baina yangu
Madhambi yangu yote yametupiliwa mbali
Na hiyo ndiyo sababu namwabudu Bwana Yesu
Mungu Baba nauliza, mbona wanijali
Mapenzi yako kwangu ninashindwa kufahamu
Ulinipa msamaha bila rushwa au masharti
Asante Mungu Baba kwa uhuru ulinipa
Jesus, Jesus
I cry out to You
Son of God
Hear my humble cry
Jesus, Jesus
Please forgive my sin
My Redeemer
You have rescued me
My Saviour
He has set me free
The Life Changer
I am now brand new
Lamb of God
Died and rose again
King of Kings
Lord of Lords
(Samahani)
Forgive me O dear God
(Ooooo aaaaaahhhh)
For all the things I've done
(Aaaaawww)
Have mercy on me Lord
(Ooooohhhh, oohh, ooohhh)
I come with open arms
I surrender to you Lord
(Ooooo aaaaaahhhh)
(Asante Mungu Baba)
Your will and not my own
(Kwa uhuru ulinipa)
Never going back
(aaaaahhhh)
Jesus I choose You
(Jesus I choose You)
(Samahani)
Forgive me O dear God
(Ooooo aaaaaahhhh)
(Asante Mungu Baba)
For all the things I've done
(Msamaha ulinipa)
(Aaaaawww)
Have mercy on me Lord
(Ooooohhhh, oohh, ooohhh)
I come with open arms
I surrender to you Lord
(Ooooo aaaaaahhhh)
(Asante Mungu Baba)
Your will and not my own
(Kwa uhuru ulinipa)
Never going back
(Aaaaahhhh)
Jesus I choose You
(Jesus I choose You)
Samahani Mungu Baba samahani
Samahani Mungu Baba tafadhali
Samahani Mungu Baba samahani
Samahani Mungu Baba
(Samahani...)