Khadja Nin - Mzee Mandela Lyrics


Khadja Nin Lyrics

Mzee Mandela Lyrics
ndani yangu ni raha na sorrow
nikiwaziya baba
myaka ishirini na saba ya sorrow
kwa bahati
mutu wa haki hana boga, ju ana kweli
mbele ya silaha ukashimamiya uhuru
Nelson Mandela
mzee madiba baba yetu
Nelson Mandela
mzee madiba baba yetu
damu ya wana wa South Africa
hayikumwangika bure
ata kama makumbuko yako ana sorrow
pole pole baba watu wanajifunza
ku kaa pamoja
Nelson Mandela
mzee madiba baba yetu
Nelson ,Nelson Mandela
mzee madiba baba yetu...


Soundtracks / Top Hits / One Hit Wonders / TV Themes / Song Quotes / Miscellaneous