Wee,
Ulinionesha njia nzuri nisipotee (no no no)
Natena wee,
Nilipoanguka ulininyanyua nisipotee mmh
Sikufuata ulivyotaka wee
Hukupenda tugombane wee
Hukutaka kuniona mi na shida
So tu kila mida mi niko lonely
Sikufuata ulivyotaka wee
Hukupenda tugombane wee
Hukutaka kuniona mi na shida
So tu kila mida mi niko lonely
Mi sisikii (Mi sisikii)
Una true love baby wee
Na sioni(sioni)
Mpenzi kama wee
Oah oahoo, oah oahoo, oah oahoo
Nasema wee
Ulithubutu usile wewe uniletee
Natena wee, kuna makosaa ulipaswa usinisamee
Sikufuata ulivyotaka wee
Hukupenda tugombane wee
Hukutaka kuniona mi na shida
So tu kila mida mi niko lonely
Sikufuata ulivyotaka wee
Hukupenda tugombane wee
Hukutaka kuniona mi na shida
So tu kila mida mi niko lonely
Mi sisikii (Mi sisikii)
Una true love baby wee
Na sioni(sioni)
Mpenzi kama wee
Oah oahoo, oah oahoo, oah oahoo
Unajitahidi tahidi kunipa upendo
Nitakupenda Zaidi my loveee
Unajitahidi tahidi kunipa upendo
Nitakupenda Zaidi my loveee
Mi sisikii (Mi sisikii)
Una true love baby wee
Na sioni(sioni)
Mpenzi kama wee
Oah oahoo, oah oahoo, oah oahoo
Sisikii (Mi sisikii)
Una true love baby wee
Na sioni(sioni)
Mpenzi kama wee
Oah oahoo, oah oahoo, oah oahoo