Alisema alikuona
Mikono mmeshikana
Baby I believed her
Nikasema tuachane
Roho ikaumia
Kila siku ni machozi
Kila siku ni majonzi
Na mawazo mingi
Kumbukumbu za mipango
Tuliyopanga ya watoto
Wa kwanza awe kijana
Jina lake awe Oliver
Baby kumbe nlidanganywa
Woi baby nikaamini
Baby come back to me
Come back to me
Makosa yangu, nimekubali
Whatever you say, baby I'll do
We ndio wangu, baby hear me
Hisia zangu
Nahisi porompopo, nahisi po
Yangu roho porompopo, yangu roho po
I need you porompopo, I need you po
I miss you porompopo, I miss you po