Nina Haja Nawe Yesu
Kila Saa
Hawezi Mwingine
Kunifaa
Yesu nakuhitaji
Vivyo kila saa
Niwezeshe mwokozi
Nakujia
Niwezeshe mwokozi
Nina Haja Nawe Yesu
Kaa nami
Na maonjo
Haya hayaumi
Yesu nakuhitaji
Vivyo kila saa
Niwezeshe mwokozi
Nakujia
Niwezeshe mwokozi