Natoa Moyo wangu
Natoa moyo wangu
Mikononi mwako uichome Bwana
Rekebisha Iwe upendavyo
Natoa Moyo wangu
Natoa moyo wangu
Mikononi mwako uichome Bwana
Rekebisha Iwe upendavyo
Halleluyaaaaaaaaaah (Halleluyah milele Amina)
(Halleluyah milele Amina)
Duniani (Duniani kote itendeke vile bingugni upendavyo)

Dunianiiiiii (Duniani kote itendeke vile bingugni upendavyo)
Wewe ndie Alpha na Omega
Mwanzo wangu tena na mwisho
Ukuu wakoo hauzuiliki
Nakupa moyo wangu

Halleluyaaaaaaaaaah(Halleluyah milele Amina)
Duniani (Duniani kote itendeke vile bingugni upendavyo)
Halleluyaaaaaaaaaah (Halleluyah milele Amina)
Halleluyaaaaaaaaaah (Halleluyah milele Amina)
Dunianiiiiii (Duniani kote itendeke vile bingugni upendavyo)
Maisha yangu natoa kwako
Unionye unikanye
Nielekeze njia zako Bwana
Nikubali niwe Mwanao

Naomba msaada wakoo
Nitokapo niingiapo
Uniongoze Unihifadhii
Moyo wangu wakutamani
Mimina roho wako
Ndani ya moyo wangu
Unioshe bwana unitakase
Nifanye vile upendavyo
Halleluyaaaaaaaaaah (Halleluyah milele Amina)
Halleluyaaaaaaaaaah(Halleluyah milele Amina)
Duniani (Duniani kote itendeke vile bingugni upendavyo)
(Halleluyah milele Amina)
Halleluyaaaaaaaaaah (Halleluyah milele Amina)
Dunianiiiiii (Duniani kote itendeke vile bingugni upendavyo)
(Duniani kote itendeke vile bingugni upendavyo)