Back to Top

We Ndio Kusema Video (MV)

Performed By: Hanta The Samurai
Language: English
Length: 3:41
Written by: John Mugwimi
[Correct Info]

Hanta The Samurai - We Ndio Kusema Lyrics

Hanta The Samurai

Luigi got the source boy

Kumbusha mama akisali pia atuombee
(Ohh atuombee)
Tusiwahi achana, mikosi isitutokee
(Itutokee)
Tupige picha tuposti watuone
(Wacha watuone)
Niringe nawe wenye wivu wajinyonge

Hadi wajue wewe ndio kusema
Ju wewe ndio kuseeema
Wewe ndio kusema
Ju wewe ndio
Oh, mama mama, yo

Kusema
Ju wewe ndio kuseeema
Wewe ndio kusema
Ju wewe ndio
Oh, mama mama, yo

Ahh
Babe we ni star, that's why mi u-hang out kwa sky
Manzi kifaa, and i swear i love your style
Napenda unavyo vaa, and how wear your pride
Na napenda unavyokaa napenda kuona ukismile

Na nakuahidi, i will not make you cry
Najua ulishazoea kuambiwa 'Babe be mine'
But as for me, I wanna make you my wife
Na nitafanya kila kitu hii mapenzi isurvive

Ju we ndio wangu, Bolingo nangai
Waambie hauko single wote wanaokudai
I've seen so many girls, na bado we ndo nadai
And I'll walk you down the Isle, kama weddo utadai

Tufunge pingu za maisha sio za jela
Nikupe mapenzi tamu, sio ya kisela
Wengi unatesa na figure ndani ya dera
Imebaki we ndio kusema, mithili ya hela

Kumbusha mama akisali pia atuombee
(Ohh atuombee)
Tusiwahi achana, mikosi isitutokee
(Itutokee)
Tupige picha tuposti watuone
(Wacha watuone)
Niringe nawe wenye wivu wajinyonge

Hadi wajue wewe ndio kusema
Ju wewe ndio kuseeema
Wewe ndio kusema
Ju wewe ndio
Oh, mama mama, yo

Kusema
Ju wewe ndio kuseeema
Wewe ndio kusema
Ju wewe ndio
Oh, mama mama, yo

Aahh
Picture-perfect tukipiga hadi ma-selfie
Aahh, ndio maana wengi wanatu-envy
I'm sorry they never saw what you're worth
You're a queen, and I'll never make you be what you not

Hadi nikikosa pesa, na account inasoma zero
Uh, haunipi pressure, unanikumbusha mi hero
It's still amazing that you still love my steelo
And we still get goofy na kufight na ma-pillow

Ju we ndio wangu, Bolingo nangai
Waambie hauko single wote wanaokudai
I've seen so many girls, na bado we ndio nadai
And I'll walk you down the Isle, kama weddo utadai

Tufunge pingu za maisha, sio za jela
Nikupe mapenzi tamu, sio ya kisela
Wengi unatesa na figure ndani ya dera
Imebaki we ndio kusema, mithili ya hela

Kumbusha mama akisali pia atuombee
(Ohh atuombee)
Tusiwahi achana, mikosi isitutokee
(Itutokee)
Tupige picha tuposti watuone
(Wacha watuone)
Niringe nawe wenye wivu wajinyonge

Hadi wajue wewe ndio kusema
Ju wewe ndio kuseeema
Wewe ndio kusema
Ju wewe ndio
Oh, mama mama, yo

Kusema
Ju wewe ndio kuseeema
Wewe ndio kusema
Ju wewe ndio
Oh, mama mama, yo
[ Correct these Lyrics ]

[ Correct these Lyrics ]

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.

English

Writer: John Mugwimi
Copyright: Lyrics © O/B/O DistroKid

Tags:
No tags yet