Unajuwa wanadhania ninakupenda sababu ya pesa zako
Pia wanashangaa umri wangu na wako haulingani
Wanasema itakuwaje kijana kama mimi
Kuwa na mama kama wewe
Wanasahau kuwa mapenzi hayajui mapesa
Wala umri wacha niwaambie leo
Sugar mummy amenipenda nimempenda hatutaachana
Shida zake ni shida zangu raha zangu ni raha zake
Ayayayaya
Hatujali tofauti ya umri wetu
Tukiwa pamoja tunasahau utajiri wake
Na umasikini wangu tunajali mapenzi
She is the queen of hart living in the house of cards
Uuuu! uuuu! uuuu!, uu! ayayayayaaaa!
Hawajui mimi na wewe ni wapi tulipoanzia
Tulivuka mabonde milima na taabu tukiwa pamoja
Leo hii tunapasuwa raha kwao wao inawakera
Acha niwaambie leo
Sugar mummy, amenipenda, nimempenda hatutaachana,
Shida zake ni shida zangu raha zangu ni raha zake
Ayayayaya
Tafadhalini tuacheni kama tulivyo
Pilipili iliyo shambani sijui nyinyi
Inawawasha vipi acheni maneno
Uuuuuuya!, uuuuuuya
Yaiyaiyaiyaiyaiyaah
Unajuwa wanadhania ninakupenda sababu ya pesa zako
Pia wanashangaa umri wangu na wako haulingani
Wanasema itakuwaje kijana kama mimi
Kuwa na mama kama wewe
Wanasahau mapenzi hayajui mapesa
Wala umri wacha niwaambie leo
Sugar mummy, amenipenda, nimempenda hatutaachana
Shida zake ni shida zangu raha zangu ni raha zake
Ayayaya
Tafadhalini tuwacheni kama tulivyo pilipili iliyo shambani
Sijui wenzangu inawawasha vipi acheni maneno