Flossgang flossygang flossygang another time yoo
Tycon Dadicul
Yooo
Swila boy
Ayee bigtune on the track yooo
Flossgang flossygang
Waatagwaan
Msupa uko fiti mi nataka nikuoe
Kuja tujiseti baby girl si tubonge
Tusicheze chini kila mtu atubonge bonge bonge bonge eee
Msupa uko fiti mi nataka nikuoe
Kuja tujiseti baby girl si tubonge
Tusicheze chini kila mtu atubonge bonge bonge bonge
Baby tukisonga songa songa
Kiuno ukinyonga nyonga nyonga eee
Baby tukisonga songa songa
Kiuno ukinyonga nyonga nyonga eee
Baby tukisonga songa songa
Kiuno ukinyonga nyonga nyonga eee
Baby tukisonga songa songa
Kiuno ukinyonga nyonga nyonga eee
Rukaruka eee
Flossy flossy eee
Steam zikishika tunadundadunda ee
Rukaruka eee
Flossy flossy eee
Steam zikishika tunadundadunda ee
Songa songa songa kiuno ukinyonga nyonga nyonga
Songa songa songa kiuno ukinyonga nyonga nyonga
Baby girl nakupenda now you know
Now you know
Ata ka sai ni ukweli hatucuff
Hatucuff
Niko ready joh adi Kuenda Niger
Niger
Usijali home maze pesa zimejaa
Zimeja jaa
Baby tukisonga Songa songa kiuno ukinyonga nyonga nyonga
Baby tukisonga Songa songa kiuno ukinyonga nyonga nyonga
Baby tukisonga Songa songa kiuno ukinyonga nyonga nyonga
Baby tukisonga Songa songa kiuno ukinyonga nyonga nyonga
Msupa uko fine kwanza kiuno ukiwine
Nataka uwe mine
Kukupenda nimewai
Kuzungusha nimekurank
Babe kam niwe bank
Akuna kitu unalack
From your waist to your back
Msupa uko fine kwanza kiuno ukiwine
Nataka uwe mine
Kukupenda nimewai
Kuzungusha nimekurank
Babe kam niwe bank
Akuna kitu unalack
From your waist to your back
Zungusha zungusha
Dondosha dondosha
Pandisha pandisha
Ukichachisha chachisha
Zungusha zungusha
Dondosha dondosha
Pandisha pandisha
Ukichachisha chachisha
Zungusha zungusha
Dondosha dondosha
Pandisha pandisha
Ukichachisha chachisha
Zungusha zungusha
Dondosha dondosha
Pandisha pandisha
Ukichachisha chachisha
Ee eeh baby tukisonga songa songa kiuno ukinyonga nyonga nyonga
Ee eeh baby tukisonga songa songa kiuno ukinyonga nyonga nyonga
Ee eeh baby tukisonga songa songa kiuno ukinyonga nyonga nyonga
Ee eeh baby tukisonga songa songa kiuno ukinyonga nyonga nyonga
Ee ee jina kubwa ee
Flossy flossy ee
Koko Koko ee
Ee ee ee magnito aii
Wasafi ati Nani
Flssy ent
Flossylabels
Flossgang flossygang flossygang flossygang
Baby tukisonga songa songa eh eh eeeh