Back to Top

Propaganda Video (MV)

Performed By: Fid Q
Language: English
[Correct Info]

Fid Q - Propaganda Lyrics

Makochali
Polisi wanasupport gaingstar rap
(ili wahalifu waongezeke)
Wabanapua kuimba mapenzi
(je itafanya ukimwi usepe)
Media znapromote bif
(wanadai zinakuza mziki)
Wadau wanawasanii wabovu
(juakali utatoka vipi)

Hizi ni propaganda, usiulize ni nani ni yupi saa ngap ilikuaje na nani iliiweje

Hizi ni propaganda utaibiwa ukicheza plan (ni yule last king of scort land sio iddiamin wa uganda)

(verse one)
Machungu yanapozimwa ili ufunikwe na asieweza
Mbaya zaidi wanampa promo lakin kwenye shoo unammeza
Hautaki kuwa tatizo sababu unaweza tatuka
Huwez jua wap ntatoka iwe gizan nkitupwa
Wanaficha ili nsione wakat tayar nshajua
Hamkomi, igeni nione jinsi msamba mnavyoupasua
Ivi unaishi ili ule au unakula ili uishi
Kumbuka a small link will sink a ship
Mazingira hatarishi mawanafki wanapesa mbovu
Uswazi tunaomba mvua znyeshe ili tutapishe vyoo
Ogopa kuoa haraka kama unaogopa taraka
Na ukivote in a hurry ujue unaproduce corruption
Maneno yao matam midomo yao inanuka
Ukipewa usisahau ukitoa toa bila kukumbuka
Usihofie kupitwa ilimradi muda haukuachi
Amini kesho itafka kama ipo ili uipate
Tunachukiana sababu tunaogopana, tunaogopana kwasababu hatujajuana
Hatujuani sababu tunatengana, dunia ni nzuri walimwengu hawana maana

(repeat)

(verse two)
Polisi huniita mzururaji na wanajua me ni MC
Kisha hunipa ishara kama wanavuta radi kwa tasbii
Baya lisilonidhuru ni jema lisilo na faida
Nashkuru kote naskika nnapotoa haya mawaidha
Kuanzia kata tarafa wilaya mikoa hadi ngazi ya taifa
Nkifa siachi scandle nnauhakika ntaacha pengo
Kwa hivi vina hata wakulima hujikuta wanameza mbegu
Pia ni kama riberration strugle machoni mwa chegu
Ukiwa mkali kama makochali raia watafeel tu
Wajinga ndo hufa kwa wivu sababu hawako real tu
Rafiki sio rafiki usipochanganya na kazi, mlango sio mlango hadi ufungwe au uachwe wazi
Hupaswi kumwamini muongo hata kama akiongea ukweli
Dhambi kutumia dini kama njia ya kutapeli
Wanajiingizia kipato kwa kivuli cha misaada, hawatufunzi tuwe viongozi labda viongoz wa kuwafata
Utata huja tunapoanza kuwachunguza, badala ya kuwafata ndipo siri znapovuja
Tunajenga tabia kisha tabia znatujenga, ukishindwa kujiendesha ujue mwenyewe tu ulipenda
Kama umevutiwa na asali jiandae kumkwepa nyuki
Hauwez kumtisha kwa mawe adui aliyeshika bunduki
Ni uchunguzi tu wa kisayansi ambao haukufanikiwa, kama ng'ombe kula nyasi tu alaf anatoa maziwa

(repeat)
End
[ Correct these Lyrics ]

[ Correct these Lyrics ]

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.

English

Back to: Fid Q

Tags:
No tags yet