Back to Top

Instagram Video (MV)




Performed By: Ethic
Length: 3:32




Ethic - Instagram Lyrics
Official




Nasioni kosa msupa usi stress
Kama roho inaitisha basi unipee
Najua wewe ni diva lazima ni spend
Ata kama ni mita me sita bergain, gain
Nasioni kosa msupa usi stress
Kama roho inaitisha basi unipee
Najua wewe ni diva lazima ni spend
Ata kama ni mita me sita bergain, gain

Basi pale Instagram bae
Bae napenda sana hizo ma
Mmh mmh
Pale Instagram bae
Bae napenda sana hizo ma
Mmh mmh
Yani pale instagram bae
Bae napenda sana hizo ma
Mmh mmh
Yani pale instagram bae
Bae napenda sana hizo ma
Mmh mmh

Na mokia niko insta (msupa)
Nakusuka na unadinda (ringa)
Vile diva unachachisha (ita)
Unadhani ntalalisha(chuma)
Ona huyu (ako dance flow amebeba)
Ona huyu (ako jaba na mabenda)
Ona huyu (kiu nginyo nawakemba)
Mshike kiuno kwanza
Twende dada blanda

Na sioni kos msupa usistress
Kama rohoo inaitisha basi unipee
Najua wewe ni diva lazma nispend
Ata kama ni mita me sita bergain, gain
Na sioni kos msupa usistress
Kama rohoo inaitisha basi unipee
Najua wewe ni diva lazma nispend
Ata kama ni mita me sita bergain, gain

Basi pale Instagram bae
Bae napenda sana hizo ma
Mmh mmh
Pale Instagram bae
Bae napenda sana hizo ma
Mmh mmh
Yani pale Instagram bae
Bae napenda sana hizo ma
Mmh mmh
Yani pale Instagram bae
Bae napenda hizo ma
Mmh mmh

Napenda hizo na mmh mmh
Unalenga na umevaa hii luku tu
Unadai WiFi kuja na zuku tu
Na kudem walai unadai nugu tu
Ukipita nika wewe wacha juju
Boychild asha rausha dudu juu
Sponsor asha rausha dudu juu
Na ku dm walai unadai nugu tu

Huyu Dem ako fiti shikisha njugu na njiti (ssh ssh)
Cheki bro washa shasha hadi morrow (ssh ssh)
Bila ticha hakuna shule kuja daro (mmh mmh)
Ka mafuta nakucheza we ni chura (ssh)
Orosho Piga shotho Mkuna giza (ssh ssh)
Shika goti lazima ukule njoti (ssh ssh)
Ziki nice tuji nice uweke story (ssh ssh)
Pale Insta double tap, jetho twende chap chap

Na sioni kosa msupa usistress
Kama rohoo inaitisha basi unipee
Najua wewe ni diva lazima nispend
Ata kama ni mita me sita bergain, gain
Na sioni kos msupa usistress
Kama rohoo inaitisha basi unipee
Najua wewe ni diva lazma nispend
Ata kama ni mita me sita bergain, gain

Basi pale Instagram bae
Bae napenda sana hizo ma
Mmh mmh
Pale Instagram bae
Bae napenda sana hizo ma
Mmh mmh
Yani pale Instagram bae
Bae napenda sana hizo ma
Mmh mmh
Yani pale Instagram bae
Bae napenda sana hizo ma
Mmh mmh
[ Correct these Lyrics ]

[ Correct these Lyrics ]

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.


We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.




Nasioni kosa msupa usi stress
Kama roho inaitisha basi unipee
Najua wewe ni diva lazima ni spend
Ata kama ni mita me sita bergain, gain
Nasioni kosa msupa usi stress
Kama roho inaitisha basi unipee
Najua wewe ni diva lazima ni spend
Ata kama ni mita me sita bergain, gain

Basi pale Instagram bae
Bae napenda sana hizo ma
Mmh mmh
Pale Instagram bae
Bae napenda sana hizo ma
Mmh mmh
Yani pale instagram bae
Bae napenda sana hizo ma
Mmh mmh
Yani pale instagram bae
Bae napenda sana hizo ma
Mmh mmh

Na mokia niko insta (msupa)
Nakusuka na unadinda (ringa)
Vile diva unachachisha (ita)
Unadhani ntalalisha(chuma)
Ona huyu (ako dance flow amebeba)
Ona huyu (ako jaba na mabenda)
Ona huyu (kiu nginyo nawakemba)
Mshike kiuno kwanza
Twende dada blanda

Na sioni kos msupa usistress
Kama rohoo inaitisha basi unipee
Najua wewe ni diva lazma nispend
Ata kama ni mita me sita bergain, gain
Na sioni kos msupa usistress
Kama rohoo inaitisha basi unipee
Najua wewe ni diva lazma nispend
Ata kama ni mita me sita bergain, gain

Basi pale Instagram bae
Bae napenda sana hizo ma
Mmh mmh
Pale Instagram bae
Bae napenda sana hizo ma
Mmh mmh
Yani pale Instagram bae
Bae napenda sana hizo ma
Mmh mmh
Yani pale Instagram bae
Bae napenda hizo ma
Mmh mmh

Napenda hizo na mmh mmh
Unalenga na umevaa hii luku tu
Unadai WiFi kuja na zuku tu
Na kudem walai unadai nugu tu
Ukipita nika wewe wacha juju
Boychild asha rausha dudu juu
Sponsor asha rausha dudu juu
Na ku dm walai unadai nugu tu

Huyu Dem ako fiti shikisha njugu na njiti (ssh ssh)
Cheki bro washa shasha hadi morrow (ssh ssh)
Bila ticha hakuna shule kuja daro (mmh mmh)
Ka mafuta nakucheza we ni chura (ssh)
Orosho Piga shotho Mkuna giza (ssh ssh)
Shika goti lazima ukule njoti (ssh ssh)
Ziki nice tuji nice uweke story (ssh ssh)
Pale Insta double tap, jetho twende chap chap

Na sioni kosa msupa usistress
Kama rohoo inaitisha basi unipee
Najua wewe ni diva lazima nispend
Ata kama ni mita me sita bergain, gain
Na sioni kos msupa usistress
Kama rohoo inaitisha basi unipee
Najua wewe ni diva lazma nispend
Ata kama ni mita me sita bergain, gain

Basi pale Instagram bae
Bae napenda sana hizo ma
Mmh mmh
Pale Instagram bae
Bae napenda sana hizo ma
Mmh mmh
Yani pale Instagram bae
Bae napenda sana hizo ma
Mmh mmh
Yani pale Instagram bae
Bae napenda sana hizo ma
Mmh mmh
[ Correct these Lyrics ]

Back to: Ethic

Tags:
No tags yet