Back to Top

Elias Patrick - Usiyeacha Nipotee Lyrics



Elias Patrick - Usiyeacha Nipotee Lyrics




Nachagua kukushukuru, haijalishi ni wapi napita
Ila naamini wewe upo nami
Hujawahii niacha wala kunipungukia

Majira Yote
Nyakati zote
Hujawahi niacha , Mi ninyauke
Usiyeacha mi kunipenda
Uondoaye baba majonzi yangu

Usiyeacha niangamizwe
Usiyeacha mi nipotee
Usiyeacha , Nigharikishwe
Usiyeacha , Mi nipotee

Kwenye Dhoruba Utavuka na mimi
Hata kwenye moto upo na mimi
Kwenye Dhoruba Utavuka na mimi
Hata kwenye moto upo na mimi

Nitupwapo kwenye tundu la Simba
We mtetezi wangu uliye hai

Unifutaye machozi yangu
Uondoaye Uchungu wangu
Ufutaye machozi yangu
Unipaye tumaini la milele
Usiyeacha mimi nipoteee
[ Correct these Lyrics ]

[ Correct these Lyrics ]

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.


We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.


English

Nachagua kukushukuru, haijalishi ni wapi napita
Ila naamini wewe upo nami
Hujawahii niacha wala kunipungukia

Majira Yote
Nyakati zote
Hujawahi niacha , Mi ninyauke
Usiyeacha mi kunipenda
Uondoaye baba majonzi yangu

Usiyeacha niangamizwe
Usiyeacha mi nipotee
Usiyeacha , Nigharikishwe
Usiyeacha , Mi nipotee

Kwenye Dhoruba Utavuka na mimi
Hata kwenye moto upo na mimi
Kwenye Dhoruba Utavuka na mimi
Hata kwenye moto upo na mimi

Nitupwapo kwenye tundu la Simba
We mtetezi wangu uliye hai

Unifutaye machozi yangu
Uondoaye Uchungu wangu
Ufutaye machozi yangu
Unipaye tumaini la milele
Usiyeacha mimi nipoteee
[ Correct these Lyrics ]
Writer: Elias Elias
Copyright: Lyrics © O/B/O DistroKid

Back to: Elias Patrick



Elias Patrick - Usiyeacha Nipotee Video
(Show video at the top of the page)


Performed By: Elias Patrick
Language: English
Length: 3:38
Written by: Elias Elias
[Correct Info]
Tags:
No tags yet