Back to Top

Tusherehekee Video (MV)




Performed By: Ebebé Jamal
Language: English
Length: 3:14
Written by: Ebebe Walid
[Correct Info]



Ebebé Jamal - Tusherehekee Lyrics




Naf Niger

Tusherehekee, Tusherehekee, Tu,tu!
Tusherehekee Tusherehekee, Tu,tu!
Tusherehekee, Tusherehekee, Tu,tu
Tusherehekee Tusherehekee
Tu, tu ,tu, tu!
Tumetoka Mbali, Maisha Safari
Tu, tu, tu!
Tusherehekee, Tusherehekee, Tu,tu!
Tusherehekee Tusherehekee
Tu, tu, tu!
Tumetoka mbali, Maisha Safari
Tusherehekee, Tusherehekee, Tu, tu!
Tusherehekee Tusherehekee

Mchezo ulianza, Chini Ndala Mbovu, ah!
Mwilini Makovu, ah!
Peni Ipo Mkononi, ah!
Hakuna Ambaye aliyetegemea itakuwa hivi Siku za Usoni
Hakuna ambaye aliyetegemea,Leo nitakuwa mjengoni, ah!
Mungu ndio anajua, Ah!
Leo napiga hatua, ah.!
Kesho itakuwa ya nani wa jana tayari washatusua, ah!
Kombolela, nani atabutua, ah!
Nani atabukua, Na Tukifika itabidi tu, tu, tu!

Tusherehekee, Tusherehekee, Tu, tu!
Tusherehekee Tusherehekee,Tu, tu!
Tusherehekee, Tusherehekee,Tu,t u
Tusherehekee Tusherehekee
Tu, tu, tu, tu!
Tumetoka Mbali, Maisha Safari
Tu, tu, tu!
Tusherehekee, Tusherehekee, Tu,tu!
Tusherehekee Tusherehekee
Tu, tu, tu!

Tumetoka mbali
Japo Mchezo Kamali
Namuomba Jalali
Niitunze Amani Kama Rasta Bob Marley
Hainaga Makuzi Japo wanaleta Upuuzi
Nikate Ringi na Nyuzi Mbele ya My Familia
Ujuzi Ukufunzi, Unaopelekea Ugunduzi
Ladha ndani ya Utunzi Matunda ninayokadilia
Naisaka Michuzi na Sintowaza Kuloose
Paparazi wanaperuzi Nyota ninayosafiria
Naziunga hizi Fuse Stop Messing with my Music
Mpaka Haters Wananyuti Mipango Wanayopangilia
NIpo Site, Japo Life Tight
Morning Mpaka Night Because Nimedhamilia
Nitafight, Buku Kuwa Laki
Japo hawataki ila nimepania

Tusherehekee, Tusherehekee, Tu,tu!
Tusherehekee Tusherehekee,Tu,tu!
Tusherehekee, Tusherehekee,Tu,tu
Tusherehekee Tusherehekee
Tu,tu, tu, tu!
Tumetoka Mbali, Maisha Safari
Tu,tu,tu!
Tusherehekee, Tusherehekee, Tu,tu!
Tusherehekee Tusherehekee
Tu, tu, tu!
Tumetoka mbali, Maisha Safari
Tusherehekee, Tusherehekee, Tu, tu!
Tusherehekee Tusherehekee
[ Correct these Lyrics ]

[ Correct these Lyrics ]

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.


We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.


English

Naf Niger

Tusherehekee, Tusherehekee, Tu,tu!
Tusherehekee Tusherehekee, Tu,tu!
Tusherehekee, Tusherehekee, Tu,tu
Tusherehekee Tusherehekee
Tu, tu ,tu, tu!
Tumetoka Mbali, Maisha Safari
Tu, tu, tu!
Tusherehekee, Tusherehekee, Tu,tu!
Tusherehekee Tusherehekee
Tu, tu, tu!
Tumetoka mbali, Maisha Safari
Tusherehekee, Tusherehekee, Tu, tu!
Tusherehekee Tusherehekee

Mchezo ulianza, Chini Ndala Mbovu, ah!
Mwilini Makovu, ah!
Peni Ipo Mkononi, ah!
Hakuna Ambaye aliyetegemea itakuwa hivi Siku za Usoni
Hakuna ambaye aliyetegemea,Leo nitakuwa mjengoni, ah!
Mungu ndio anajua, Ah!
Leo napiga hatua, ah.!
Kesho itakuwa ya nani wa jana tayari washatusua, ah!
Kombolela, nani atabutua, ah!
Nani atabukua, Na Tukifika itabidi tu, tu, tu!

Tusherehekee, Tusherehekee, Tu, tu!
Tusherehekee Tusherehekee,Tu, tu!
Tusherehekee, Tusherehekee,Tu,t u
Tusherehekee Tusherehekee
Tu, tu, tu, tu!
Tumetoka Mbali, Maisha Safari
Tu, tu, tu!
Tusherehekee, Tusherehekee, Tu,tu!
Tusherehekee Tusherehekee
Tu, tu, tu!

Tumetoka mbali
Japo Mchezo Kamali
Namuomba Jalali
Niitunze Amani Kama Rasta Bob Marley
Hainaga Makuzi Japo wanaleta Upuuzi
Nikate Ringi na Nyuzi Mbele ya My Familia
Ujuzi Ukufunzi, Unaopelekea Ugunduzi
Ladha ndani ya Utunzi Matunda ninayokadilia
Naisaka Michuzi na Sintowaza Kuloose
Paparazi wanaperuzi Nyota ninayosafiria
Naziunga hizi Fuse Stop Messing with my Music
Mpaka Haters Wananyuti Mipango Wanayopangilia
NIpo Site, Japo Life Tight
Morning Mpaka Night Because Nimedhamilia
Nitafight, Buku Kuwa Laki
Japo hawataki ila nimepania

Tusherehekee, Tusherehekee, Tu,tu!
Tusherehekee Tusherehekee,Tu,tu!
Tusherehekee, Tusherehekee,Tu,tu
Tusherehekee Tusherehekee
Tu,tu, tu, tu!
Tumetoka Mbali, Maisha Safari
Tu,tu,tu!
Tusherehekee, Tusherehekee, Tu,tu!
Tusherehekee Tusherehekee
Tu, tu, tu!
Tumetoka mbali, Maisha Safari
Tusherehekee, Tusherehekee, Tu, tu!
Tusherehekee Tusherehekee
[ Correct these Lyrics ]
Writer: Ebebe Walid
Copyright: Lyrics © O/B/O DistroKid

Back to: Ebebé Jamal

Tags:
No tags yet