Nani angesimama ,nani angesimama
Nani angesimama nani angesimama
Mbele zako zako zako Bwana
Mbele zako zako zako Bwana
Nani angesimama ,nani angesimama
Nani angesimama nani angesimama
Mbele zako zako zako Bwana
Mbele zako zako zako Bwana
Eee ahaaaaa
Katikia Yesu tu kidogo
Mungu ni mwema ,tena mwenye huruma
Amejaa rehema,hakasiriki ovyo
Fadhili zake
Kweli niza milele
Hunitia changamoto
Kwa neno lake
Kama angehesabu
Maovu yetu
Kama angehesabu
Maovu yetu
Ninani angesimama kwa ajili yetu
Jiulize
Nani angesimama ,nani angesimama
Nani angesimama nani angesimama
Mbele zako zako zako Bwana
Mbele zako zako zako Bwana
Nani angesimama ,nani angesimama
Nani angesimama nani angesimama
Mbele zako zako zako Bwana
Mbele zako zako zako Bwana
Eee eee
Akamwambia Nuhu
Hii ni anagano langu
Na pia vizazi
Uzao bada yenu
Kamwe uhai
Hautofutwa tena ee
Kwa garika
Kwa garika yoyoyo...
Kwa garika
Kwa garika yoyoyo...
Wakati wowote upinde wa mvua
Unapotokea juu mawinguni
Nitauona
Nami nitakumbuka ee
Agano langu eee
Agano langu eee
Eeee tunapendwa na Mungu
Twende
Nani angesimama, nani angesimama
Nani angesimama, nani angesimama
Mbele zako zako zako Bwana
Mbele zako zako zako Bwana
Nani angesimama ,nani angesimama
Nani angesimama nani angesimama
Mbele zako zako zako Bwana
Mbele zako zako zako Bwana