Back to Top

Pesa (feat. Didi) Video (MV)

Performed By: Deey Oneten
Language: Swahili
Length: 3:00
Written by: Renfrank Maginga

Deey Oneten - Pesa (feat. Didi) Lyrics
Official

Toka nazaliwa mpaka nimekuwa ndipo nikajua kuna marafiki
Achana nao niliocheza nao nilikutana nao tu kwenye harakati
Kuna wengine nilikuwa nao nishagombana nao wote wanafiki
Na kuna wana niliosoma nao nilioishi nao wengine washafariki
Kuna wanangu masuperstar kuna wanangu walionikataa
Kuna wanangu walionisnitch baada ya kutoboa na kupata chapaa
Kuna wanangu wanaonifaa kuna wanangu wa kutoka far
Kuna wanangu vibampani muda wote nami wananipa furaha
Rafiki wa kweli ni nani muda wote awe na mie
Asinifiche ya gizani siri yake yangu na mie
Upendo mbele na imani kwa matatizo anisaidie
Thamani ya kwako jirani siwezi kushusha amani eeh
Pesa pesa
Pesa pesa
Pesa pesa
Pesa pesa
Cheki wana wenye pesa zao na maisha yao ya kulala bar
Kipindi tunatafutaga nao yote washasahau tulilala njaa
Hawathamini hata ndugu zao wenye shida zao wote ni kinyaa
Kisa pesa tunanyanyasika nina pagamisa mpaka nachakaa
Pesa inaweza kubadilisha pesa inaweza kuhalalisha
Pesa inaweza kufanya ndugu wale wanaopendana ikawagombanisha
Pesa inaweza kupagawisha pesa ni chachu kwenye maisha
Pesa inaweza ikatuunganisha ndugu na jamaa na ukapata sifa

Kuna waliopata wakabaki juu juu juu juu
Na waliokosa wakasema hewala
Na ukipata sema Ooh Lord
Na ukikosa hewala aaaaah
Pesa pesa
Aaah aaah
Pesa pesa
Hela hela aaah
Pesa pesa
Iiiiihhh iiiih
Pesa pesa
[ Correct these Lyrics ]

[ Correct these Lyrics ]

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.

Romanized

Writer: Renfrank Maginga
Copyright: Lyrics © O/B/O DistroKid

Back to: Deey Oneten

Tags:
No tags yet