Back to Top

Chichi - Usifosi tukujue Lyrics

Chichi - Usifosi tukujue Lyrics

[ Featuring Carter, TONY DRIZZY BEATS ]

Usifosi tukujue akikujua demu wako inatosha
Pombe uninunulie Ila Usiniadithie kwa watu wanijue
Kwani kitu gani Pombe bei gani
Ndo maisha gani Mambo ya kizamani
Vitu vidogo mtani kwao Utasikia yeye ndo amesema
Sitaki unigande umejaa upambe umbea peleka
Uwa sipendi wapambe kwanini unigande
Mjini watakuteka Kwanza subiria utanihadithia
Unajisifia nimekuvumilia Kwa ofa za bia mtaani unarukia
mabwana na mademu wote wanakuchukia
Mbona ukilala na njaa aupost
Ugali na dagaa aupost
Minadhani Ni ushamba tuu
Kutaka sifa za kijinga
Ni ushamba tuu
(Niushamba tuu)
Minadhani Ni ushamba tuu
Kutaka sifa za kijinga
Ni ushamba tuu
Niushamba tuu
Aaah eeh aaee
Ushamba wa kuvaa Pamba ghetto unalalia kitanda cha kamba
Aaah eeeh aaee
Eti unatamba labda katafute kiki kwa mganga
Aaah eeh aaee
Usifosi tukujue usitujue
Aaah eeh aaee
Usifosi tukujue usitujue
Vile unafosifosi unapostpost
Mpaka instagram Eti wakujue
Unajifanya boss unapost noti
Eti mademu wazuri wakujue
Uko fake bro
Mtaani kote tunajua auna dorral
Vile unakaba koo mfukoni huna kitu pamba kaliakoo
See...Machizi atuchill tunasaka tuu mahela
Na usipo tuona IG tuko chimbo na masela
Vile boom likitema bata chini kwa mandela
Atudeal na fake nigga sisi konki na masela

[ Correct these Lyrics ]

[ Correct these Lyrics ]

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.

English

Usifosi tukujue akikujua demu wako inatosha
Pombe uninunulie Ila Usiniadithie kwa watu wanijue
Kwani kitu gani Pombe bei gani
Ndo maisha gani Mambo ya kizamani
Vitu vidogo mtani kwao Utasikia yeye ndo amesema
Sitaki unigande umejaa upambe umbea peleka
Uwa sipendi wapambe kwanini unigande
Mjini watakuteka Kwanza subiria utanihadithia
Unajisifia nimekuvumilia Kwa ofa za bia mtaani unarukia
mabwana na mademu wote wanakuchukia
Mbona ukilala na njaa aupost
Ugali na dagaa aupost
Minadhani Ni ushamba tuu
Kutaka sifa za kijinga
Ni ushamba tuu
(Niushamba tuu)
Minadhani Ni ushamba tuu
Kutaka sifa za kijinga
Ni ushamba tuu
Niushamba tuu
Aaah eeh aaee
Ushamba wa kuvaa Pamba ghetto unalalia kitanda cha kamba
Aaah eeeh aaee
Eti unatamba labda katafute kiki kwa mganga
Aaah eeh aaee
Usifosi tukujue usitujue
Aaah eeh aaee
Usifosi tukujue usitujue
Vile unafosifosi unapostpost
Mpaka instagram Eti wakujue
Unajifanya boss unapost noti
Eti mademu wazuri wakujue
Uko fake bro
Mtaani kote tunajua auna dorral
Vile unakaba koo mfukoni huna kitu pamba kaliakoo
See...Machizi atuchill tunasaka tuu mahela
Na usipo tuona IG tuko chimbo na masela
Vile boom likitema bata chini kwa mandela
Atudeal na fake nigga sisi konki na masela
Mbona ukilala na njaa aupost
Ugali na dagaa aupost
Minadhani Ni ushamba tuu
Kutaka sifa za kijinga
Ni ushamba tuu
Niushamba tuu
Minadhani Ni ushamba tuu
Kutaka sifa za kijinga
Ni ushamba tuu
Niushamba tuu
Aaah eeh aaee
Ushamba wa kuvaa Pamba ghetto unalalia kitanda cha kamba
Aaah eeeh aaee
Eti unatamba labda katafute kiki kwa mganga
Aaah eeh aaee
Usifosi tukujue usitujue
Aaah eeh aaee
Usifosi tukujue usitujue
[ Correct these Lyrics ]
Writer: TONY DRIZZY
Copyright: Lyrics © Too Lost LLC

Back to: Chichi

Chichi - Usifosi tukujue Video
(Show video at the top of the page)

Performed By: Chichi
Featuring: Carter, TONY DRIZZY BEATS
Language: English
Written by: TONY DRIZZY
[Correct Info]
Tags:
No tags yet