Back to Top

Bro Mfalme - Fine Ass (Finance) Lyrics



Bro Mfalme - Fine Ass (Finance) Lyrics




Mi Amor Sinyorita
Itikia kila ninapokuita
Picha Perfect turushe pale insta
Ndio tuchoche mtandao tumeweza bila filter
Ahh
Ka ni cruizing twende Zanzibar
Kila siku nimechoka kunywa ndani ya bar
KQ twende juu
Juu hadi majuu
Tupasue anga kwani tusha ng'oa nanga
Kwa darubini nakucheki 3D
Nimekubali una mzigo ni kaa umetoka soko mami
Hot cake ni ka umetoka bakery
You gotta fine ass and I gatta finance you

Mwanamke Fine Ass Mwanaume Finance
Ukiwa na either you stand a chance
Mwanamke Fine Ass Mwanaume Finance
Ukiwa na either you stand a chance
Ukiwa nazo utagonga wewe
Ukikosa Utakonda eh
Ukiwa nazo utagonga wewe
Ukikosa Utakonda eh

Honey Honey Honey
Hapa shida sio money
Nimekupenda zamani
Usilete penzi la mikombani
Kama ni dollar basi mimi nitakupa
Nimedata nawe shore super dupa
Ah! ah! me nimejipa
Si unajua pendeje nimefika
Ayayaya! wewe zichune, zichune nami nikukune,
Ayayaya! wewe zichune, zichune chumbani nikuume,

Mwanamke Fine Ass Mwanaume Finance
Ukiwa na either you stand a chance
Mwanamke Fine Ass Mwanaume Finance
Ukiwa na either you stand a chance
Ukiwa nazo utagonga wewe
Ukikosa Utakonda eh
Ukiwa nazo utagonga wewe
Ukikosa Utakonda eh

Me want good vibez eh
Me want good vibez eh
Kuja nikupee good vibez eh good vibez eh
Kuja nikupee good vibes eh good vibez eh

Show me lomie lomie lomie lomie lomie lomie love
Me want good vibez girl
Show me lomie lomie lomie lomie lomie lomie love
Me want good vibez girl

Mwanamke Fine Ass Mwanaume Finance
Ukiwa na either you stand a chance
Mwanamke Fine Ass Mwanaume Finance
Ukiwa na either you stand a chance
Ukiwa nazo utagonga wewe
Ukikosa Utakonda eh
Ukiwa nazo utagonga wewe
Ukikosa Utakonda eh
[ Correct these Lyrics ]

[ Correct these Lyrics ]

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.


We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.


English

Mi Amor Sinyorita
Itikia kila ninapokuita
Picha Perfect turushe pale insta
Ndio tuchoche mtandao tumeweza bila filter
Ahh
Ka ni cruizing twende Zanzibar
Kila siku nimechoka kunywa ndani ya bar
KQ twende juu
Juu hadi majuu
Tupasue anga kwani tusha ng'oa nanga
Kwa darubini nakucheki 3D
Nimekubali una mzigo ni kaa umetoka soko mami
Hot cake ni ka umetoka bakery
You gotta fine ass and I gatta finance you

Mwanamke Fine Ass Mwanaume Finance
Ukiwa na either you stand a chance
Mwanamke Fine Ass Mwanaume Finance
Ukiwa na either you stand a chance
Ukiwa nazo utagonga wewe
Ukikosa Utakonda eh
Ukiwa nazo utagonga wewe
Ukikosa Utakonda eh

Honey Honey Honey
Hapa shida sio money
Nimekupenda zamani
Usilete penzi la mikombani
Kama ni dollar basi mimi nitakupa
Nimedata nawe shore super dupa
Ah! ah! me nimejipa
Si unajua pendeje nimefika
Ayayaya! wewe zichune, zichune nami nikukune,
Ayayaya! wewe zichune, zichune chumbani nikuume,

Mwanamke Fine Ass Mwanaume Finance
Ukiwa na either you stand a chance
Mwanamke Fine Ass Mwanaume Finance
Ukiwa na either you stand a chance
Ukiwa nazo utagonga wewe
Ukikosa Utakonda eh
Ukiwa nazo utagonga wewe
Ukikosa Utakonda eh

Me want good vibez eh
Me want good vibez eh
Kuja nikupee good vibez eh good vibez eh
Kuja nikupee good vibes eh good vibez eh

Show me lomie lomie lomie lomie lomie lomie love
Me want good vibez girl
Show me lomie lomie lomie lomie lomie lomie love
Me want good vibez girl

Mwanamke Fine Ass Mwanaume Finance
Ukiwa na either you stand a chance
Mwanamke Fine Ass Mwanaume Finance
Ukiwa na either you stand a chance
Ukiwa nazo utagonga wewe
Ukikosa Utakonda eh
Ukiwa nazo utagonga wewe
Ukikosa Utakonda eh
[ Correct these Lyrics ]
Writer: Job Mbeya
Copyright: Lyrics © O/B/O DistroKid

Back to: Bro Mfalme



Bro Mfalme - Fine Ass (Finance) Video
(Show video at the top of the page)


Performed By: Bro Mfalme
Language: English
Length: 3:05
Written by: Job Mbeya
[Correct Info]
Tags:
No tags yet