Back to Top

Bro Mfalme - Dinda Lyrics

Bro Mfalme - Dinda Lyrics

Nimetanga hadi Nyika sijapata mshika dau
Na nikikucheki freshi unakaa ni kaa umenisahau
I did a lot of things for you not to forget
I went an extra mile nikakugetia hadi moti
Ukadoz with my best friend matrimonial bed
Ukamzalia mtoi, kwanza twins
Iliniuma sana, I can't lie but I told myself ah! Am just human
Nikamsamehe although iliniuma
Nikajiambia maisha ni kuskuma
You need a second chance should I or should I not
Coz for real umenipitisha a lot
Nataka lakini my heart has second thoughts
Gimmie time I have to think over this
Coz nikiharakisha nitarudi square one
Love to me is a scam at the moment

Moyo unadinda... (Uwe) (Uwe)... dinda
Moyo Unadinda
Moyo unadinda... (Uwe) (Uwe)... dinda
Najuta Kupenda

Moyo unadinda... (Uwe) (Uwe)... dinda
Moyo Unadinda
Moyo unadinda... (Uwe) (Uwe)... dinda
Najuta Kupenda

Penzi lako kwangu mimi shubili,
Me nahisi umenipa mbili mbili (Ohh!)
Ninavyo hisi, Ukinigusa me nahisi sina jinsi
Ju mpenzi moyo wadinda
Ona nilivyo nadanga
Umenipa kungu manga
Mpenzi umenitwanga (Eh!)
Moyo wa dunda, dunda (Dunda!) (Dunda!)
Juu umenipa kungu manga, natanga tanga

Moyo unadinda... (Uwe) (Uwe)... dinda
Moyo Unadinda
Moyo unadinda... (Uwe) (Uwe)... dinda
Najuta Kupenda

Moyo unadinda... (Uwe) uh moyo (Uwe)... dinda
Moyo Unadinda
Moyo unadinda... (Uwe) uh moyo (Uwe)... dinda
Najuta Kupenda

You were the chosen but you never saw me in
Coz you were busy trynna looking for a better me
Nikakupenda sana ukanionyesha madharau
Singeamini ungenipiga dafrau
Bow wow sai unanibeg ukibow
Am broken pieces si easy kuni assemble
Chenye napitia saizi ni mimi tu najua
Kwangu ulingaa ulikua kama jua
Now you know it's never easy for me
Ningependa but, am heavy-ladden'd
Akili inataka but roho inakata (Haha) (Inakataa, inakataa, inaataa)
Am sorry baby

Moyo unadinda... (Uwe) (uwe)... dinda
Moyo unadinda
Moyo unadinda... (Imekataa)... dinda
Najuta Kupenda...(Imekataa kabisa)

Moyo unadinda... inadinda
Moyo Unadinda.. unadinda
Moyo unadinda... Moyo unadinda
Najuta Kupenda... Ninajuta hadi ku-penda
[ Correct these Lyrics ]

[ Correct these Lyrics ]

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.

Writer: JOB MBEYA
Copyright: Lyrics © O/B/O DistroKid

Back to: Bro Mfalme

Bro Mfalme - Dinda Video
(Show video at the top of the page)

Performed By: Bro Mfalme
Length: 3:11
Written by: JOB MBEYA
[Correct Info]
Tags:
No tags yet